picha ya mwisho wakichuma dawa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
564608_525683564112733_349380504_n.jpg


mia
 
Sijaua madhara ya kuchimba dawa ni yepi?
Ni kuchafua mazingira? huo uchafu ni environment friendly
Kushambuliwa na wanyama wakali? si lazima kuchimba ktk mazingira hatarishi
Kulinda maadili kwa rika? Haja ikikushika haina adabu maadili unaweka kando
Kuna vyoo vimeandaliwa? ni vya kulipia? nani atavisafisha?kuongeza mzigo kwa msafiri
yameletwa mabasi yenye vyoo ndani? sijayaona
Ukichimba dawa utakamatwa? wanawekwa askari maporini?

Ubongo wangu una maswali na majibu haya, napata shida kuelewa. labda kwa vile Kayumba.
 
Wapiga marufuku, public toilet hakuna

Ndo cha kushangaza.

But i think km kungetokea mtu mwenye uwezo wake akajenga private toilets kwenye vituo vyote vya kuchimba dawa ingependeza sana na kuondoa hii aibu.
 
Hii Morogoro baada ya kuvuka geti la mikumi kama unakuja Dar kuna sehemu sijui kunaitwaje vileee... tena SUMRY HIGH CLASS hiyo nimechimba sana dawa mitaa hiyo!

ndiooo nshapajua, si kama majani yake mekunduuu... kumbe ni wewe!
 
Kwa wale wanaelekea au kutoka kusini, bora kutokula chips za pale aljerzeera. Vinginevyo kuchimba dawa tena ile kubwa kuko pale pale.
 
Ndo cha kushangaza.

But i think km kungetokea mtu mwenye uwezo wake akajenga private toilets kwenye vituo vyote vya kuchimba dawa ingependeza sana na kuondoa hii aibu.

Mmmh hiyo subiri yesu arudi. Hata nikiwa nazo sijengi viongozi wenu wazibugie zangu ndo nijenge mji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom