Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

Ina maana kinachofundishwa Cambridge hakiko Necta?? Au ni malengo gani hayo mzazi anayalenga kuyapata Cambridge/Necta ambayo hayako upande mwingine wa mtaala??

narudia tena! angalia syllabus ya NECTA & CAMBRIDGE .... "Google is ur best friend"
 
Nadhani waziri mwingine wa awamu ile Lazaro Nyalandu ndiye anasomesha watoto wawili Cambridge pale Brueburn Arusha.. Ada kwa mwaka kwa msingi si chini ya million 12
 
unajua mshahara wake kwa mwezi ni kiasi gani! je atachindwaje kulipa 12m kwa mwaka..?!

its all about malengo! huwezi mpangia mtu mwanaye akasome wapi .. ili iweje ?!
 
Naunga mkono Hoja kwa 100%!​
Ni unafiki mkubwa sana anaounyesha Waziri Mwigulu kama ni kweli kwani akiwa kama Kiongozi ambaye anapaswa kuboresha maisha ya Mtanzania na hii ikiwa ni pamoja Elimu alipaswa awe mfano, kwa yeye kutokupeleka mtoto wake Shule ya Serikali in maana hana Imani na Shule za Serikali ambazo yeye amepewa jukumu la kuziboresha!

Hebu tuwe waungwana,tujaribu kufikiri kwa mapana zaidi:

Ni ni yupi mbunge ukiachilia mbali mbunge+waziri ambaye kwa mshahara anaolipwa ni ajabu sana akatumia kiasi kumpeleka mtoto wake shule ya gharama isiyofanana na shule za mtaani kwetu za elimu ya kayumba? Kumbuka huyu unayemshangaa kwamba kampeleka mtoto shule ya ghali ni waziri na ni mbunge kwamba anacho kipato cha kumtosha kumpeleka mtoto wake feza school hapa hamna ajapo yeyote ajabu ni Kama angempeleka shule za kawaida huku mtaani kwetu hapa tungemsema kwamba jamaa ni wa ajabu kweli yaani pamoja na mshahara mzuri anaopata ameshindwa kumpeleka mwanae shule yenye ubora kidogo. Nafikiri hapa tuache kumlaumu badala yake tuone kwamba amefanya matumizi sahihi ya pesa zake kwa kumsomesha mtoto wake kwani pia angeweza kuzitumia pesa hizo ktk matumizi ya anasa na mambo ambayo hayana tija kwa familia yake mwenyewe wala kwa taifa,pengine ungeongea naye angekuambia ni mambo mangapi ya anasa aliyoyakwepa ili tu aweze kukidhi gharama ya kumsomesha mtoto anaposoma ungeweza ama ukajihurumia kwa vurugu ufanyazo na pesa unayolipwa mwisho wa mwezi kitu ambacho ungeweza kukwepa uyafanyayo na gharama unayotumia ktk mambo yasiyokuwa na msingi ukaitumia kumpeleka mtoto kwenye elimu iliyo bora kidogo na pale alipo hata kama si feza school lakini kiwango cha juu tofauti na pale unapomsomesha kwa sasa na nafikiri unaweza kuona kwamba itawezekana kabisa kubadilisha ubora wa elimu apatayo mwanao

Na tusisahau ya kwamba mtoto huyo akielimika vizuri bado kizazi cha Tanzania kitamfaidi kwa siku za baadaye kwani atatumika vema pia ktk kulijenga Taifa hili hili siku zijazo

Huyu Mwiguli hawezi kumsomesha mtoto wake shule ambazo pengine Mimi na wewe tulisomeshwa na wazazi wetu kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha uliowapelekea kutupeleka shule za elimu ambayo si bora na pengine shule zilezile tulizosoma mimi na pia aina ya shule hizo hizo alisoma Mwigulu lakini sote tulitamani sana kusoma shule za elimu iliyo bora zaidi Ila kikwazo ilikuwa ni uwezo wa wazazi wetu kifedha na ndiyo maana Leo hii kwa yeyote anayefanikiwa kimaisha miongoni mwetu basi akiwa ni mtu mwenye utashi na na mapenzi mema kwa familia na Taifa kwa ujumla atakichagulia kizazi chake sehemu yenye kutoa elimu bora pengine inayoendana na kipato chake

Kwa kifupi tu ni kwamba kwa yeyote atamsomesha mtoto pale anapomudu kulipia gharama na kufanya hivyo hakupwlekei mtu kupoteza sifa ya uzalendo kwa nchi

ktk hili sioni sababu ya yeye Mwigulu kulaumiwa na hasa ukizingatia ya kwamba tofauti na kuwa ni kiongozi yeye ni binadamu mwenye nyama na damu na zaidi pia mwenye kuitakia familia yake mapenzi mema.
 
unajua mshahara wake kwa mwezi ni kiasi gani! je atachindwaje kulipa 12m kwa mwaka..?!

its all about malengo! huwezi mpangia mtu mwanaye akasome wapi .. ili iweje ?!
Simpangii mtu wapi akasome ila at least wakubali kwamba huko wanakokimbia hakuna huduma bora zinazokidhi future za hao watoto wao...
 
Hebu tuwe waungwana,tujaribu kufikiri kwa mapana zaidi:

Ni ni yupi mbunge ukiachilia mbali mbunge+waziri ambaye kwa mshahara anaolipwa ni ajabu sana akatumia kiasi kumpeleka mtoto wake shule ya gharama isiyofanana na shule za mtaani kwetu za elimu ya kayumba? Kumbuka huyu unayemshangaa kwamba kampeleka mtoto shule ya ghali ni waziri na ni mbunge kwamba anacho kipato cha kumtosha kumpeleka mtoto wake feza school hapa hamna ajapo yeyote ajabu ni Kama angempeleka shule za kawaida huku mtaani kwetu hapa tungemsema kwamba jamaa ni wa ajabu kweli yaani pamoja na mshahara mzuri anaopata ameshindwa kumpeleka mwanae shule yenye ubora kidogo. Nafikiri hapa tuache kumlaumu badala yake tuone kwamba amefanya matumizi sahihi ya pesa zake kwa kumsomesha mtoto wake kwani pia angeweza kuzitumia pesa hizo ktk matumizi ya anasa na mambo ambayo hayana tija kwa familia yake mwenyewe wala kwa taifa,pengine ungeongea naye angekuambia ni mambo mangapi ya anasa aliyoyakwepa ili tu aweze kukidhi gharama ya kumsomesha mtoto anaposoma ungeweza ama ukajihurumia kwa vurugu ufanyazo na pesa unayolipwa mwisho wa mwezi kitu ambacho ungeweza kukwepa uyafanyayo na gharama unayotumia ktk mambo yasiyokuwa na msingi ukaitumia kumpeleka mtoto kwenye elimu iliyo bora kidogo na pale alipo hata kama si feza school lakini kiwango cha juu tofauti na pale unapomsomesha kwa sasa na nafikiri unaweza kuona kwamba itawezekana kabisa kubadilisha ubora wa elimu apatayo mwanao

Na tusisahau ya kwamba mtoto huyo akielimika vizuri bado kizazi cha Tanzania kitamfaidi kwa siku za baadaye kwani atatumika vema pia ktk kulijenga Taifa hili hili siku zijazo

Huyu Mwiguli hawezi kumsomesha mtoto wake shule ambazo pengine Mimi na wewe tulisomeshwa na wazazi wetu kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha uliowapelekea kutupeleka shule za elimu ambayo si bora na pengine shule zilezile tulizosoma mimi na pia aina ya shule hizo hizo alisoma Mwigulu lakini sote tulitamani sana kusoma shule za elimu iliyo bora zaidi Ila kikwazo ilikuwa ni uwezo wa wazazi wetu kifedha na ndiyo maana Leo hii kwa yeyote anayefanikiwa kimaisha miongoni mwetu basi akiwa ni mtu mwenye utashi na na mapenzi mema kwa familia na Taifa kwa ujumla atakichagulia kizazi chake sehemu yenye kutoa elimu bora pengine inayoendana na kipato chake

Kwa kifupi tu ni kwamba kwa yeyote atamsomesha mtoto pale anapomudu kulipia gharama na kufanya hivyo hakupwlekei mtu kupoteza sifa ya uzalendo kwa nchi

ktk hili sioni sababu ya yeye Mwigulu kulaumiwa na hasa ukizingatia ya kwamba tofauti na kuwa ni kiongozi yeye ni binadamu mwenye nyama na damu na zaidi pia mwenye kuitakia familia yake mapenzi mema.

Fedha hapa siyo ishu, kama Mwigulu angekuwa Mfanyabiashara hilo wala lisingekuwa tatizo, lkn yeye ni Mwajiriwa wa Serikali yaani mtu ambaye anapaswa awe sehemu ya suluhisho la matatizo ya nchi yetu na kila mtu anafahamu kwamba unaweza tu ukawekeza sehemu kubwa ya nguvu yako kutatua tatizo kama linakuhusu moja kwa moja, hivyo kama Waziri Mwigulu au Kiongozi yoyote yule mtoto wake angekuwa anakaa chini Shuleni au Shule haina choo ina maana yeye Mwigulu hili tatizo lingemgusa yeye moja kwa moja na hivyo kulazimika kulitatua kwa manufaa ya mtoto wake na Umma kwa ujumla, hiyo ndiyo maana ya kuwa Kiongozi na ndiyo maana anaitwa Kongozi wa Umma!
 
Ukwelii ni mmoja tu,huduma zote za jamii zitolewazo na serikali haziwezi kuwa bora mpaka pale tu viongozi wote wakubwa wa serikali hiyo watakapoamua kutumia pia huduma hizo.
 
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Wanashinikiza shule za serikali zifundishwe kwa kiswahili, za binafsi kwa kingereza. Ikijua kiswahili unakuwa na future nzuri kuliko kingereza.
 
Naona kuna baadhi ya wachangiaji hoja wanakubali kuwa ''mwenye nguvu ya kipesa/madaraka'' apate chochote kwa nguvu hiyo.

Hiyo ni sawa sawa na kusema ''mwenye nguvu kipesa/madaraka'' ruksa kutumia uwezo wake kufanya chochote mfano '' kumchukua kwa ''nguvu'' mke/mume wa mtu''.

Viongozi bora hujiwekea kanuni za msingi za kimaisha kuhusu watu anaowaongoza kwa kujiuliza je ninachofanya ni sahihi kwa umma niliopewa kuuongoza ikiwemo huduma bora za elimu/afya kwa wote na kuheshimu utu-wa-mtu?
 
Aioseee kumbe wanatupiga changa la macho eeeghh? Ukiwaona wakiongea utadhani kweli
ukijadili hoja kwa jicho la kimasikini jutaona kama amekosea, kusomesha mtoto katika shule za aina hii wazazi huzingatia mambo mengi ikiwa ni pamoja na usalama wa mtoto, malezi, na elimu bora.duniani kote matabaka hayakosekani.si dhambi mtumishi wa umma kumsomesha mtoto katika shule za hadhi ya juu na zinazo toza fedha nyingi.Hapo unashangaa mtoto kusoma shule hiyo ,je ungeona chakula chake kuanzia asubuhi mpaka usiku si ndio ungejinyonga kabisa!! wewe angalia utumishi wake kwa umma unaridhisha? basi.
 
Nadhani suala kuu la uzi huu ni elimu bora kwa wote, serikali ikiboresha elimu bora kwa wote hakuna sababu kwa wananchi kupigia kelele elimu bora kwa wenye uwezo wa kusomesha watoto wao shule za binafsi.

Lakini hapa wadau wanaona mapungufu ya serikali kutotia mkazo wa elimu bora kwa shule wanazosoma watoto wa wazazi wa kawaida.
 
watanzania wengi wana angalia mambo kijamaa zaidi.Hata shule za serikali zikiboreshwa hadi kuwa kama zilivyo shule za ST MARYS bado kutakuwa na shule za watu wenye pesa mingi.Nenda Uingereza public schools ni nzuri lakini huwezi mkuta mtoto wa waziri yeyote anasoma kule.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom