Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

Mwigulu anaweza kulipa ada! Kwako ni most expensive, kwake ninreasonable price kwa quality of education!
Wapo wababa wanaokunywa Pombe kwa mwaka pesa nyingi kuliko ada ya Feza! Ktk maisha ñi kupanga priorities tu!

Shida anatuaminisha ni mtetezi wa wanyonge!
 
Mimi nafikiri tungepitisha sheria kuwa ukiwa kiongozi wa umma lazima watoto wako wasome shule za umma ili kama wanaona hazina ubora wangeziboresha maana wangejua wasipofanya hivyo na watoto wao pia watahathirika. Lakini kwa mtindo huu ni ngumu mno kwa viongozi kuboresha elimu maana haiwaathiri wao na familia zao.
 
Amkeni wazazi tuchangie maboresho ya Elimu, hakuna kilicho cha bure ktk ulimwengu wa leo, Mkiwasikiliza hao wanasiasa mtakuwa wapiga kura milele
 
Feza huingii kwa sababu ya cheo wala fedha za mzazi wako bali ni kichwa. Fuatilia utajua.
 
B
Shida anatuaminisha ni mtetezi wa wanyonge!
Bado anaweza kuwa mzalendo pamoja na kumsomesha mwanae Feza!
Feza ni shule ya watanzania, kwa uzalendo wake ameamua kutompeleka mwanae Kenya au mataifa mengine kutafuta elimu, ameamua mwanae asome hapahapa nchini ktk shule ya mlipa kodi wetu, huo pia ni uzalendo!
 
Mimi nafikiri tungepitisha sheria kuwa ukiwa kiongozi wa umma lazima watoto wako wasome shule za umma ili kama wanaona hazina ubora wangeziboresha maana wangejua wasipofanya hivyo na watoto wao pia watahathirika. Lakini kwa mtindo huu ni ngumu mno kwa viongozi kuboresha elimu maana haiwaathiri wao na familia zao.

Mkubwa,
Yaani hapo umesema jambo ambalo viongozi na hata sisi wa-Tanzania tunashindwa kulipigania kuhusu elimu bora kwa wote (bila kujali kipato) hata kama kutakuwa na shule chache za binafsi.
 
Hiyo kwa sisi tuliobahatika kusomea lugha tunasema ni ishara ya kukosa elimu yaani umbumbumbu maana ukiona mtu anajisifu kwa matusi ujue ni tatizo hilo.... mimi hapa nipo huru wala sina mlengo wa chama chochote ninachosema ni hivi viongozi wanaopeleka watoto wao nje au international school sio wazalendo wawe wa Upinzani au Chama tawala maana hawatakuwa na uchungu na watoto wa wayonge ....kwahyo ulichotaka wewe kutuaminisha ni kuwa kwakuwa huyo uliemtaja anasomesha watoto ulaya bhasi ni halali na huyo kusomesha international nikakuambia kuwa hauwezi kulisahihisha kosa moja kwa kosa jingine..ulichokifanya wewe ukaleta mambo ya kitoto ..kama unafikiria mimi ni miongoni mwa wale manoleteana mambo ya uchama nakuambia you are wrong mimi ni mtu huru
Umesoma lugha gani hiyo? Nini maana ya bhasi?
 
Kuna haja ya kuweka kigezo cha kuwa mbunge lazma mwanao asome shule za serikali tena jimboni mwake kwenye katiba.
 
Amkeni wazazi tuchangie maboresho ya Elimu, hakuna kilicho cha bure ktk ulimwengu wa leo, Mkiwasikiliza hao wanasiasa mtakuwa wapiga kura milele
Mimi nipo hapa dodoma mkuu kwahiyo ushauri wako huu nami unanihusu?si unaijua dodoma kwa ccm?
 
View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.

Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?

Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.

Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
TAJIRI NA MALI YAKE,Masikini na watoto
 
Mimi nipo hapa dodoma mkuu kwahiyo ushauri wako huu nami unanihusu?si unaijua dodoma kwa ccm?
Haswaaaa inakuhusu sana uwe mtu wa kwanza kuhamasisha watu wachangie kwenye elimu hata km mwalimu yupo mtaani kwenu mwenyewe uwezo mzuri mumugaramie afundishe watoto wenu, , Dodoma ndo makao makuu ya nchi lakini watu wake ni duni sana ktk kila nyanja (wala viwavi) : kwahiyo mnahitaji nguvu ya ziada kuleta mapindunzi (Ombaomba wao, viwavi wao, Ccm wao, jangwa wao)
 
inategemea unamalengo gani na mwanao ...

ndio maana kuna NECTA & CAMBRIDGE ...

Ni malengo ya mtu au mzazi kwa mwanaye
Ina maana kinachofundishwa Cambridge hakiko Necta?? Au ni malengo gani hayo mzazi anayalenga kuyapata Cambridge/Necta ambayo hayako upande mwingine wa mtaala??
 
Haswaaaa inakuhusu sana uwe mtu wa kwanza kuhamasisha watu wachangie kwenye elimu hata km mwalimu yupo mtaani kwenu mwenyewe uwezo mzuri mumugaramie afundishe watoto wenu, , Dodoma ndo makao makuu ya nchi lakini watu wake ni duni sana ktk kila nyanja (wala viwavi) : kwahiyo mnahitaji nguvu ya ziada kuleta mapindunzi (Ombaomba wao, viwavi wao, Ccm wao, jangwa wao)
Duuuuu,solowenyo
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom