Pesa unazopata kwenye kazi zako unapeleka wapi kama hutaki kumlisha mtoto wako wewe kilaza!? Kama unataka maisha ya Mwigulu, basi gombea ubunge...ukifanikiwa utapeleka mwanao kokote unapojisikia. Sio unalia lia tu hapa.Nimechukia sana mkuu....mwanangu kimbwe nimempeleka shule za kata kila siku akirud analalamika njaa hawali shulen.....halafu wakwao wanasoma shule hizo zenyechakula wanawaanda watoto wetuvwaje kutawaliwa na watoto wao pia mkuu
Napata pesa ya kumlisha ila kwa makusudi tumekatazwa kulipa hiyo hela...Mungua awalani hawa....Pesa unazopata kwenye kazi zako unapeleka wapi kama hutaki kumlisha mtoto wako wewe kilaza!? Kama unataka maisha ya Mwigulu, basi gombea ubunge...ukifanikiwa utapeleka mwanao kokote unapojisikia. Sio unalia lia tu hapa.
Hebu Twambie watoto wa Mbowe na Lissu wanasoma shule gani?View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.
Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?
Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.
Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Halafu hapo mwenyewe ana furahi kuona litoto linene kama puto. Na hizo shule wanapewa maziwa ya Nido na mayai kwa wingi. Likifikisha miaka mitano tayari na ugonjwa wa moyo juu.Toto lenyewe limeshiba, siyo sampuli ya watoto wa kitanzania hiyo;
acha tu hao wetu tusomeshe kwa kanumba na mkopo pia wanawanyima mbadala wake wanawapa hao wao;
Kuna tofauti gani kati ya Feza na Mbagala Primary School??nadhani huo mjadala umezua wewe... sijaona cha ajabu ... mshahara wake unaruhusu mwanaye kusoma FEZA
Hapa watapelekwa wadanganyika sisi mawaziri tunajisogeza FEZA SCHOOL baba,
Ni wazi huyo mtoto ni wa umri wa Chekea, kwa maana hiyo Mwigulu anampeleka mwanae Chekea ya bei ya juu kabisa nchini. Feza School ni miongoni mwa shule zinatoza gharama za juu sana hapa Tanzania. Mwigulu anajidai ni mzalendo sana hata kuvaa Tia yenye bendera ya Tanzania kumbe naye ni wale wale tu! Na hii inaoenesha jinsi gani Magufuli ana kibarua kigumu kuboresha shule za umma maana mawaziri wako wako busy na kuimirisha shule za Private. Naanza kujua kiburi cha hizi shule za hawa mabwana kinatoka wapi?
Kosa linalofanyika ni kumuhukumu mwigulu kwa kumpeleka mwanae private school!View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.
Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?
Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.
Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
Kosa linalofanyika ni kumuhukumu mwigulu kwa kumpeleka mwanae private school!
Tunasahau kuwa Kila mzazi anatamani mwanae apate kilicho bora kabisa! Kwa sasa Feza ina ubora huo ambao hata sisi tungekuwa na nafasi ya kufanya hivyo tusingesita!
Ubovu wa elimu yetu una sura nyingi na umeshakomaa!
Kulikoni kumlaumu Mwigulu ni bora tutumie jukwaa hili kushauri labda tunaweza kusikiliza!
Mwigulu anaweza kulipa ada! Kwako ni most expensive, kwake ninreasonable price kwa quality of education!One of the most expensive private schools in Tanzania! Na hapo ni chekechea!