Picha ya Mtu Mwenye Jinsia ya Kike na Kiume: Maswali Magumu kwa JF Doctor

Haya ni mambo ya ndani sana na ni siri za makabila, kama ilivyo kwa Wamasai, Wambulu, Singida na Dodoma bado wanatohara kwa wanawake mpaka kesho but no one can admit na inapotokea ukagusa na kukuta hamna kitu, mhusika atakuambia amezaliwa hivyo hivyo, hivyo, sitegemei Muhaya yoyote kujitokeza kuseecondment hoja ya kukivutavuta ila ni kweli ya kushuhudia sio kuhadithiwa.
Hata waganda huvutanaga tangia watoto na kuwa virefu pia sana tu
 
Mtu kuzaliwa na viungo vya jinsia mbili kunasababishwa na sababu mbalimbali za kibiologia wakati wa uumbaji/ukuaji wa jinsia wakati mtoto akiwa anaumbika tumboni mwa mama yake (sex differentiation). Kutokamilika au kuvurugika katika sex differentiation kunaweza kusababisha kiumbe kuwa sex organs za jinsia zote mbili au kuwa na sex organ ya jinsia moja ambayo haijakamilika.


Katika sexual differentiation, chromosome ndio zinahusika ambazo ni XX (kwa mwanamke) au XY (kwa mwanaume). Sasa basi kunapokuwa na mushkeli katika kujipanga, maumbile ya hizo chromosome, uwiano ktk utoaji enzyme zinazohusika na hiyo process (sex differentiation) au uwiano ktk utoaji wa hormones husika ndio hapo mambo huanza kuharibika. Kuna mambo mengi yanayoweza kuleta mvurugano hapa, ila nitaongelea mfano mmoja tu wa upungufu wa enzyme moja.

Mfano wa enzyme inayoweza kuleta mushkeli katika sexual diferentiation ni 5 - alpha reductase. Kazi kubwa ya hii enzyme ni kubadilisha testosterone kwenda di-hydro-testosterone. Ukosefu/upungufu wa 5 alpha reductase husababisha kuwa na kiwango kikubwa cha testosterone kwenye peripheral tissues. Hii hupelekea uwiano mkubwa ya testosterone / di-hydro-testosterone. Hii ina maana kuwa kuna kiwango kidogo cha di-hydro-testosterone.

Hii di-hydro-testosterone ndio yenye kazi muhimu kwa ajili ya ukuaji wa viungo vya kiume vya mwanadamu akiwa kwenye tumbo la uzazi. Kwa hiyo basi kama Kiumbe hiki, kilikuwa na Y chromosome, kinatarajiwa kuwa na male genitalia. Lakini kwa vile hakuna kichocheo cha kutosha kuwezesha uumbaji wa viungo vya kiume vya uzazi, basi hapo kutegemea na factors nyingine (hasa genetical factors) kiumbe kinaweza kuwa na viungo vya uzazi vya kiume kama kawaida lakini katika utu uzima wake akawa na tabia za kike. Pili Kiumbe kinaweza kuzaliwa na ambigous genitalia (having both sex genital organs which are not fully developed or the female one to be more pronounced ). The third scenario ni kuzaliwa mtoto mwenye genitalia za kike lakini ana characteristics za kiume.
mkuu umeelezea vilivo
 
Yeyote atakaye andika kitu hapa ningeomba sana ajiulize kwa nini hii kitu ipo sana India ambapo watu huoana mtu na dadake wa tumbo moja?
Msipigepige tu huko kando kando ila unganisheni dot. India ndo nchi inaweza kuwa inaongoza duniani kwa watu hao. Karibu kila hosp kubwa kule, yupo mmoja wao wa jinsi hiyo naye yupo pale kuwadaka hao waliozaliwa hivyo na kuwalinda wasije badilishwa.
 
The common pathway of sexual differentiation, where a productive human female has an XX chromosome pair, and a productive male has an XY pair, is relevant to the development of intersexed conditions. Nevertheless some scientists suggest that the biology of gender is far more than the XX and XY chromosomes inculding criteria such as 5 - alpha reductase deficiency, gonadal dysgenesis, androgen insensitivity etc.

General information can be found here
Docta iweke post yako kwa kiswahili
 
Nachangia tuu wakati tukiendelea kusubiri majibu ya JF Doctor.
Watu hawa wapo katika jamii yetu na hiyo hali ni genetic disorder kama ulemavu mwingine wowote wa kuzaliwa na wengi inabakia kuwa siri ya familia.

Hutokea wakati wa kuumbika mtoto baada ya fertilization ambapo hatua za awali za embryo watu wote hufanana ba kadri
Kiumbe kinavyoendelea kukua ndipo yale maumbile hufuata mkondo wa kike au kiume na hatimaye huzaliwa mtoto wa kike au wakiume.
Kuzaliwa na jinsia mbili hutokea pale ambapo jinsia zote mbili zimekuwa sambamba bila moja kufutika. Watoto wengi tuu huzaliwa na jinsia mbili ila marangi jinsia moja hufutika kadri anavyokuwa na huishia kubakiwa na jinsia moja.
Uamuzi ni jinsia gani inabaki unakuwa determined na hormone balance ya huyo mwenye jinsia mbili. Kama hormones za kike zimedorminate, anakuwa mwanamke na jinsia ya kiume inabaki tuu kama umbo, vivyo hivyo hormone za kiume zikizidi, anakuwa mwanaume na ile jinsia ya kike inabaki kama zuga tuu.
Bado sijasikia mtu wa jinsia mbili aakawa na seti mbili za hormone yaani akazitumia sehemu zote mbili sawasawa.
Huku kuzaliwa na jinsa mbili ni sawa na kuna wanawake wanazaaliwa na jinsia ya kike lakini homone za kiume, annaishia kuwa dume jike na hitimaye msagaji.
Kunawaume wamezaliwa na jinsia ya kiume lakini hormone za kike, utamuona anafanya mambo ya kikekike company yake mademu na ikitokea akapigwa back, hugundua huko ndiko starehe yake ilipo na hatimaye hugeuka chakula.
Wanaume wa aina hii ni wengi kwenye familia zetu lakini wengi wanaficha inabaki kuwa siri ya familia, wale wanaoshindwa kuvumilia ndio hao wanaojitokeza wazi kuvaa nguo za kike na kukubali majina ya Anti na ushoga ju yake.
Kuzaliwa na hormone za kike au kiume ni jambo moja na tabia ya ushoga ni jambo jingine ndio maana watetezi wa haki za binaadamu wanapigania haki ya freedom of expression ya hormone ulizozaliwa nazo hivyo mashoga ni wakuhurumiwa kama vilema wengine.
Kuna jamii ya Wahaya, hukivuta vuta clitoris-ya watoto wakike toka wadogo hivyo kinarefuka usawa wa kidole. Niliwahi kukutana na dada mmoja nikamuona hiyo kuvutwa kumezidi mpaka imekuwa kama jinsia ya kiume. Kwenye shughuli pia inasimama kuelekea kuziba usipite kwa urahisi. Kusema kweli huyo dada hakuchukua muda kufika kileleni. Ndipo nikagundua kwa nini Wahaya wavuta na mume wa mtu akifanya kosa kuwapitia . Anahama nyumbani kwake na kuhamia huko huku akiacha simulizi 'Wahaya si mchezo..'.

safi sana kaka kwa kweli umeeleza vizuri sana
 
Hata waganda huvutanaga tangia watoto na kuwa virefu pia sana tu
Kiukweli Wahaya asili yao na kwao halisi ni Uganda, na sii Wahaya na Waganda pekee, bali wanawake wote wa eneo lilokuwa la Interlocustrine Kingdom wakiongozwa na utawala wa Bunyoro, theu are all the same, sema tuu wakoloni walipokuja ndio wakaweka ile mipaka iliyopo mpaka sasa, Masaai ni wale wale, Jaluo na Luo ni wale wale, Wachagga na Akamba ni wale wale, Wamakonde ni wale wale, Wanyasa na Wamalawi are the same, japo tulimtwanga Iddi Amini, but he had a point! .
Pasco
 
pasco,
you are misleading people by your generalization.
I dont mean to disagree with your experience about that Mhaya,but I what I have to say is that possibly that was the only one case which does not have to apply to the entire tribe.
It is not true that Wahaya wana tabia ya kukivuta.
Si kweli hata kidogo.But hiyo haimaanishi kuwa huyo wako kuwa hakukivuta.Possibly alikivuta,but this is not the Wahaya style.
Mkuu Thesaniofafrika, kwanza samahani kutokulizungumzia, leo ndio nimetembelea bandiko hili toka nilipo post, kwani kabila la Wahaya ni universal tribe?. Hakuna kabila lolote ambalo ni universal kabila lote, ila kwenye kila kabila kuna general rules na kuna exceptional to the general rules, na mengi ya mambo ya ndani ya makabila ni taboos, hivyo usitegemee kuna Mhaya atajitokeza na kukubali hayo yatafanyika, ila nimekueleza mimi ni shuhuda na sio kwa kuhadithiwa!.
Kwa vile kuna Kabila nyingine nyingi za Wahaya, kuna uwezekano sio lazima wote wafanye hizo makitu.

Pasco
 
Daaah juzi nimesikia kwenye radio BBC swahili mtoto kazaliwa huko Morogoro ana jinsia mbili. Halafu familia ni ya kiamskini baba mtu anatia huruma sana anaomba msaada wa nauki kwenda muhimbili.
 
Haya ni mambo ya ndani sana na ni siri za makabila, kama ilivyo kwa Wamasai, Wambulu, Singida na Dodoma bado wanatohara kwa wanawake mpaka kesho but no one can admit na inapotokea ukagusa na kukuta hamna kitu, mhusika atakuambia amezaliwa hivyo hivyo, hivyo, sitegemei Muhaya yoyote kujitokeza kuseecondment hoja ya kukivutavuta ila ni kweli ya kushuhudia sio kuhadithiwa.
 
Haya ni mambo ya ndani sana na ni siri za makabila, kama ilivyo kwa Wamasai, Wambulu, Singida na Dodoma bado wanatohara kwa wanawake mpaka kesho but no one can admit na inapotokea ukagusa na kukuta hamna kitu, mhusika atakuambia amezaliwa hivyo hivyo, hivyo, sitegemei Muhaya yoyote kujitokeza kuseecondment hoja ya kukivutavuta ila ni kweli ya kushuhudia sio kuhadithiwa.
 
Luckyline kuna kitu unataka kusema ila unasita, nimeishakisikia wala huna haja ya kukisema! . Naomba usiniulize nimejuaje.
Pasco
 
Back
Top Bottom