Picha ya Mbowe walipokutana na JK: Je unajifunza nini kwenye picha hii?

nani alikwambia siasa ni kutosalimiana na mpinzani wako?..........

think beyond the next meal man!!

I really like your comment! Upinzani sio vita au someone take issues personal. Lazima tujifunze tactics za upinzani na jlengo lazima libaki on policies na strategies za kuleta solutions za Kitaifa. Ukiangalia hapa Mbowe kamfuata JK kumsalimia na nina uhakika Jk asingefanya hivyo kwa Mbowe...Pia ukiangalia hii picha JK anaonekana kushtushwa kwa Mbowe kumpa mkono, inaonekana JK alitaka kuanguka. This is education tips to CCM members

"Point is Always Look at Your Enemy Eyes and You Might Learn Something Strategic in Long Run"
 
Sioni tatizo hapo. Ila wasiwasi unabaki kwa nini mbowe ndo ana mshake rais? Ingependa kama Amirijeshi mkuu ndo angemshika mbowe ivo ila mbowe ndo kamshika mkuu! Kwa watu wa signs language,wanaona utata hapa! Aidha rais hajiamini au mbowe yuko overconfident!
 
jamani eeh hiyo haikuwa shughuli ya kisiasa hiyo ilikuwa shughuli ya kimahakama yaan LAW DAY, wala c birthday ya JK, hivyo mbowe alikuwa na haki zoote za kufika hapo na kama ilivyo destuli salamu kwetu watz ni jambo la kawaida hasa tukionesha ni kwajinsi gani twadumisha aman, ila katika kitendo kilichonifurahisha ktk siku hiyo NI KITENDO CHA MBOWE KUSHANGILIWA PINDI ALIPOTAMBULISHWA NA MSAJILI KTK SHEREHE HIZO, ALAF ALIPOTAMBULISHWA BWANA MKUMBWA MAKOFI YAKAWA YALE YA KAWAIDA TU, ILINIFURAHISHA MNOOOOOOOO 2B HONEST
 
hawawote ni mafisadi , uliza wanaomjua mbowe mali zote alizo nazo na watoto wa ke kazipataje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom