picha ya Mbowe alipowekwa chini ya ulinzi

tatizo ni kwamba hawa jamaa wanaamrishwa na hao wakubwa wao wafanye madudu..ila polisi wenyewe wala hawataki kwani lichama lenyewe la mafisadi lilishawachosha. Ukichukulia walivyo na maisha duni yasioyokua na hamasa, wamekua kama watoto yatima, kwa hiyo hata kazi wanazofanya wanafanya kwa msongo wa mawazo.

ni kweli!
 
Mfuatilieni vizuri huyu polisi huenda ukasikia kashushwa cheo au kapelekwa kituo cha bush sana kama adhabu ya kuonyesha urafiki na mbowe maana ccm noma mi nawaogopa sana kwa zengwe
 
Back
Top Bottom