Picha ya Madiwani waliofukuzwa Chadema

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
07chademamadiwani.jpg

Madiwani wa Chadema wa Halmashauri ya Jiji la Arusha waliofukuzwa uanachana wakijadiliana jambo kabla ya kuingia katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho ili kuhojiwa, mjini Dodoma.

Kuanzia kushoto
  1. Estomih Mallah wa Kata ya Kimandolu
  2. John Bayo wa Kata ya Elerai
  3. Ruben Ngowi wa Kata ya Themi,
  4. Rehema Mohamed wa Viti Maalum
  5. Charles Mpanda wa Kata ya kaloleni
Source: Mwananchi

HESHIMUNI NA KUYATII MAMLAKA YALIYO JUU YENU
 
Kumbe hawa ndio WACHUMIA TUMBO walioanza ghafla kuota MAGAMBA ya CCM kujichukulia mlungula kwa ajili ya maslahi binafsi bila kujali maslahi maslahi mapana wa sisi WALAZWAHOI tuliowengi katika taifa hili???

Chonde tupeni zaidi profile ya kila mmoja wao hawa jamaa na usaliti wao wote kwa AZMA NZITO YA KULETA MABADILIKO YA KWELI nchini; wame wasaliti wana-A Town na Watanzania kwa ujumla.

Hakika kwa CHADEMA wachumia tumbo na wenye kuota ghafla magamba siku zote hawana maisha; labda wakajaribu upatu wao huko kwenye chama maarufu kwa kuhifadhi mafisadi nchini - Chama Cha Magamba.
 
Charles ulivyokuwa unaonekana mkakamavu, mwenye uchungu na nchi, mpiganaji, ni nini kilikuingia mpaka ukasaliti chama? Mwenye profile ya Rehema tunaomba atuwekee mara moja ili tujue tulikuwa na kamanda wa aina gani
 
Mfano mzuri wa jinsi ya kuvuana, hongera CDM..Uamuzi wa hali ya juu xana..
 
Kitty Galore.

Charles ni mkakamavu na shujaa kuliko unavyofikiri ulichoshindwa kujua ni siasa za makundi ndani ya CDM zimekuaminisha hivyo.

Charles ulivyokuwa unaonekana mkakamavu, mwenye uchungu na nchi, mpiganaji, ni nini kilikuingia mpaka ukasaliti chama? Mwenye profile ya Rehema tunaomba atuwekee mara moja ili tujue tulikuwa na kamanda wa aina gani
 
Kumbe hawa ndio WACHUMIA TUMBO walioanza ghafla kuota MAGAMBA ya CCM kujichukulia mlungula kwa ajili ya maslahi binafsi bila kujali maslahi maslahi mapana wa sisi WALAZWAHOI tuliowengi katika taifa hili???

Chonde tupeni zaidi profile ya kila mmoja wao hawa jamaa na usaliti wao wote kwa AZMA NZITO YA KULETA MABADILIKO YA KWELI nchini; wame wasaliti wana-A Town na Watanzania kwa ujumla.

Hakika kwa CHADEMA wachumia tumbo na wenye kuota ghafla magamba siku zote hawana maisha; labda wakajaribu upatu wao huko kwenye chama maarufu kwa kuhifadhi mafisadi nchini - Chama Cha Magamba.
Duu makubwa hayo, halafu hawa jamaa sasa hivi wanafikiria wataiishi je...
 
Kumbe hawa ndio WACHUMIA TUMBO walioanza ghafla kuota MAGAMBA ya CCM kujichukulia mlungula kwa ajili ya maslahi binafsi bila kujali maslahi maslahi mapana wa sisi WALAZWAHOI tuliowengi katika taifa hili???

Chonde tupeni zaidi profile ya kila mmoja wao hawa jamaa na usaliti wao wote kwa AZMA NZITO YA KULETA MABADILIKO YA KWELI nchini; wame wasaliti wana-A Town na Watanzania kwa ujumla.

Hakika kwa CHADEMA wachumia tumbo na wenye kuota ghafla magamba siku zote hawana maisha; labda wakajaribu upatu wao huko kwenye chama maarufu kwa kuhifadhi mafisadi nchini - Chama Cha Magamba.

Ujasiri mwingine jamani si wa kuigwa kamwe. Hii ni sawa na mwajiriwa kumtunishia misuli bosi wake, sasa usipomwangukia bosi wako na kukubaliana na matakwa ya kampuni nini zaidi utegemee?
 
jifanye mjinga siku ipite.

Mtaka cha uvunguni sharti uiname.
Nimeikumbuka hii ya Kikwete kukimbia chuo cha kijeshi Arusha kisha kurudi kumnyenyekea Nyerere pale dar na kupangiwa kazi mpya kuwa katibu wa Tanu wa wilaya huko moja ya wilaya za kusini Lindi, asingenyenyekea asingefika hapa alipo.

Kwa nini maafande kila akipita aliye juu yake anapiga saluti? Wanapiga saluti kwa kupenda au ni utaratibu na sheria zao upende usipendi lazima ufanye hivyo, ukikaidi maana yake umekalia kaa la moto.
 
Charles ulivyokuwa unaonekana mkakamavu, mwenye uchungu na nchi, mpiganaji, ni nini kilikuingia mpaka ukasaliti chama? Mwenye profile ya Rehema tunaomba atuwekee mara moja ili tujue tulikuwa na kamanda wa aina gani
<br />
<br />

dah, hata mimi sikutegemea! Nilimuona kama yuko makini! Maskin charles kumbe si mwenzetu....!
 
Hii inaonesha hata tukichukua nchi, rais wetu dr. Slaa hawezi akashindwa kufanya maamuzi magumu....! Hongera rais wetu mtarajiwa kwa kufanya maamuzi magumu!
 
07chademamadiwani.jpg

Madiwani wa Chadema wa Halmashauri ya Jiji la Arusha waliofukuzwa uanachana wakijadiliana jambo kabla ya kuingia katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho ili kuhojiwa, mjini Dodoma.

Kuanzia kushoto
  1. Estomih Mallah wa Kata ya Kimandolu
  2. John Bayo wa Kata ya Elerai
  3. Ruben Ngowi wa Kata ya Themi,
  4. Rehema Mohamed wa Viti Maalum
  5. Charles Mpanda wa Kata ya kaloleni
Source: Mwananchi

HESHIMUNI NA KUYATII MAMLAKA YALIYO JUU YENU

Na huyu mfuasi wa Bob naye anakosa umakini? Hii ni hatari.
 
07chademamadiwani.jpg

Madiwani wa Chadema wa Halmashauri ya Jiji la Arusha waliofukuzwa uanachana wakijadiliana jambo kabla ya kuingia katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho ili kuhojiwa, mjini Dodoma.

Kuanzia kushoto
  1. Estomih Mallah wa Kata ya Kimandolu
  2. John Bayo wa Kata ya Elerai
  3. Ruben Ngowi wa Kata ya Themi,
  4. Rehema Mohamed wa Viti Maalum
  5. Charles Mpanda wa Kata ya kaloleni
Source: Mwananchi

HESHIMUNI NA KUYATII MAMLAKA YALIYO JUU YENU

Na huyu mfuasi wa Bob naye anakosa umakini? Hii ni hatari.
 
Charles ulivyokuwa unaonekana mkakamavu, mwenye uchungu na nchi, mpiganaji, ni nini kilikuingia mpaka ukasaliti chama? Mwenye profile ya Rehema tunaomba atuwekee mara moja ili tujue tulikuwa na kamanda wa aina gani

Very poor profile, ni darasa la saba kasomea huko singida, amefanya kazi Asilia Lodges/Grumeti Expeditions kazi ya kupokea simu na kupiga. Kazi yake ilikuwa ni uchonganishi na kugawa uroda kwa madereva. Alifukuzwa kazi ndo akahamia Asilia Lodges nako akafukuzwa.
 
Back
Top Bottom