Picha ya Lini: Polisi (FFU) Kuburutwa na Gari la Pilisi

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?

Nauliza tu! Ndimi Bazazi!
 
Attachments

  • Polisi.JPG
    Polisi.JPG
    54.8 KB · Views: 764
kama gari linatembea:::mimi nafikiri alikua mbali(kimawazo au kidistansiii) wakati wenzake wanapanda ikambidi akimbilie na kudandia den akateleza....au alikaa vibaya akateleza wakati gari lipo kwenye mwendo
N:B fikra zangu tuu!!
 
Pumbafu kabisa, wamelewa gongo za wizi na dhuluma, angekatika kabisa "Biology" yake ashindwe kunanihiii, siwaonei huruma hata hawa fisi maji hawa
 
inawezekana labda kulikuwa na vurugu au kutuliza ghasia mahali wakazidiwa nguvu so dereva ikabidi awashe gari fasta huku wenzake wakidandia
 
Kamuhanda na Chagonja watakanusha kuwa hakuna askari aliyeanguka hapo. Nchi ya unknown flying objects hii!!!
 
Hii picha kidoooogo inanikumbusha unyama wa polisi kumburuta chini na gari umbali wa kilometa moja kijana mwenzetu hadi alipoaga dunia pale Tabora mapema mwaka huu.

Mwenye taarifa zozote na maendeleo ya ile kesi atujuze humu kilichoendelea zaidi.

Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?

Nauliza tu! Ndimi Bazazi!
Ni sehemu ya mazoezi yao ya kila siku.
 
Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?

Nauliza tu! Ndimi Bazazi!

Zoezi a magoti hilo! Akijakukupiga kifuti azima utapike maini!
 
Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?

Nauliza tu! Ndimi Bazazi!

Zoezi a magoti hilo! Akijakukupiga kifuti lazima utapike maini!
 
Back
Top Bottom