power tiller
Member
- Jan 17, 2012
- 13
- 1
kazi za majeshii eeeeh!....
Lazima ugangamaleee....
Wimbo unanikumbusha op maisha bora 832
Lazima ugangamaleee....
Wimbo unanikumbusha op maisha bora 832
kwa mshahara wa shiling ngapi ????labda wawe wananilipa milioni hamsini kwa mwezi , hapa nashika kalamu nakula zaidi yao , anyway ndo matatizo ya kufanya kazi ambayo anyfool can do, big wana JKT hu hu huuuuu
paty, umenifurahisha sana, hahahakwa mshahara wa shiling ngapi ????labda wawe wananilipa milioni hamsini kwa mwezi , hapa nashika kalamu nakula zaidi yao , anyway ndo matatizo ya kufanya kazi ambayo anyfool can do, big wana JKT hu hu huuuuu
kwa mshahara wa shiling ngapi ????labda wawe wananilipa milioni hamsini kwa mwezi , hapa nashika kalamu nakula zaidi yao , anyway ndo matatizo ya kufanya kazi ambayo anyfool can do, big wana JKT hu hu huuuuu
ha ha ha ha hongera zenu mlipita kwenye hii system , Mzee. Nyerere alikuwa anawajengea misingi ya ujamaa watu wenye spirit ya ubepari , matokeo yake ndo hawa mafisadi wanatuibia kwa mmedai za kivita , anyway respect mkuu Jodoki KalimiloEnzi hizo ilikuwa haikwepeki na system ilikuwa inafanya kazi hata ukimbie utapatikana tu labda usikimbilie kuajiriwa maana hata kupita JKT ilikuwa ni moja ya qualification ya kupata kazi
mkuu stineriga huu ndo ukweli bwana , sometimes naisi hawa jamaa wanastaili kupewa shughuli* za iyo waliyopewa kwani wanastahili . na ndo inayowafanya wajione ni special wakali si tunaona akili yao haina akili , ila wana umuhimu mkubwa sana, ndo wanasabibisha tunakula weekend kwa raha bila hofu yoyote ,( kwa mara nyingine ) big wanajeshipaty, umenifurahisha sana, hahaha
nashukuru mungu sikuzaliwa kipindi mzee wangu nyerere anajalibu ku cultivate socialism spirit kwa mabedui ( ma bepari/mafisadi ) kwani naisi ile smg ningempasua mtu ubongo , kimsingi hatupingi JKT ila we are ashemed by the product from JKT , yaani imekuwa ni kinyume 100% na kile baba yangu Kambarage alichotegemea, hawa waakina Mr.dhaifu , anyway Mzawa Halisi hongera kama ulipita JKT na unatamani yule ambaye hajabarikiwa kuliko wewe (tafsida) naye awe na uwezo wa kuishi juu ya dola moja kwa sikuPaty, JKT kwa vijana wengi ilikuwa ni lazima kwenda kwa mujibu wa sheria. Isipokuwa kwa wachache tuliokuwa tunawaita Volunteers, wengi wetu ilikuwa compulsory, na yeyote aliyemaliza kidato cha sita au kozi ya miaka miwili na kuendelea baada ya kumaliza kidato cha nne (walimu na waganga) ilikuwa ni lazima kwenda JKT kabla ya kupata ajira au kuendelea na masomo ili kuweza kupata ajira au kuendelea na masomo.
mkuu Mbimbinho huu ndo ukweli , kama mvivu wa kutumia akili basi kubali kutumia nguvu , kama mvivu wa kutumia nguvu basi basi kaza kushughulisha akili
ujasiriamali , the plan B ... HUTAJI KUJIFUNGA KIASI hiki , anyway nakubaliana wewe kwa kiasi flani kwa muktadha wa kipindi cha mzee wetu Nyerere ( socialism do not encourage private enterprise ), ila kea muktadha wa sasa , ni akili yako tu , maisha yanasogea kwani wananchi wanahitaji mengi ambayao mtu wa JKT ( analipwa 50 kwa mwenzi* nilipita miaka kadhaa iliyopita) aweza kuacha huu upuuzi wa kuumiza kimwili na kiakili na ku make fortune , kaka Mbimbinho i hope umeelewa what i mean
anyway ndo matatizo ya kufanya kazi ambayo anyfool can do
nakubali mkuu Mbimbinho , but kwa incedents za sasa ivi ( zingatia ufisadi , zingatia mapesa nje ya nchi ) kuwa HARSH ni best way ya kudeliver message na personal feelingsMkuu I understand what you are trying to say hapa. One thing I just want you to realize kuwa you were harsh kwa statement yako ya
nakubali mkuu Mbimbinho , but kwa incedents za sasa ivi ( zingatia ufisadi , zingatia mapesa nje ya nchi ) kuwa HARSH ni best way ya kudeliver message na personal feelings
Inanikumbusha operation vyama vyingi, Buhemba,kwa afande ng'umbi, kuna wimbo tulikuwa tunaupenda sana "Kule maputo, kule maputo vijana walikuwa moto, moto moto yee" Kwa kweli jamani tulijifunza mengi, ukakamavu na kukabiliana na matatizo magumu lakini uyashinde. Vijana wa siku hizi munakosa mengi.