Picha ya leo, nani wa kwanza kukate keki hii?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,884
6,885
401522.jpg
 
sina shaka aliyeibuni ana akili ya kichawi sio ya kishetani sababu shetani hana madoido sababu yeye tayari anatisha.
 
Keki zingine banaa..watu wanaweza kukimbia bure kwenye sherehe wakidhani ni nyoka live.
 
Mkuu kwani ni wapi huko! Kama ni China basi iligombaniwa lakini kama ni Bongo alikula mtayarishaji peke yake.


Umeona eee, bongo hii kitu inatisha, pamoja na utamu wa keki hagusi mtu, anaogopa kuota usiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom