Picha ya leo, Je, unawafahamu hawa?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
551257_158584274275609_1796393079_n.jpg


Wenye uwezo wa kugundua sura za hawa mastaa atujuze ni akina nani zawadi ni mwisho wa mwaka.
 
Ngoja mie nijaribu kusafisha macho yangu kwa maji maangavu, kazi kwelikweli hapa, wenye macho fresh naona wako mbioni kunyakua zawadi ya mwaka,
 
biyons na jayizii wakitoka shamba kuvuna mpunga huko magugu
 
Aiseeeee baba yangu mi naona kama ni namelass na wahu au kama nimekosea ni jei keyi na mama ridhi 1 wakati wapo bagamoyo miaka ya 1945
 
Back
Top Bottom