Picha ya leo: Bush anashangaa ukaribu wa watanzania?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
images
kooooo.jpg


Picha hii ya inatoa taswira fulani ambayo rais wa Zamani wa Marekani George Bush anavyoonyesha kitu ambacho kwa maneno vigumu kutamkika.
 
Anamwambia JK, "hivi kweli upo tayari kuniachia mbuga yote ya madini, Selous nichimbe Uranium na pori lote huko Namtumbo!!!"
 
anamwambia mkwerre: You are very handsome

Bush alikuwa anabembeleza kuachiwa ardhi yenye hifadhi ya madili ya uranium huko Namtumbo songea karibu na mbuga ya Serious, maana wamarekani wangezumbaa Mrusi angekuja kazi kama si wakorea.
 
Anamwambia JK, "hivi kweli upo tayari kuniachia mbuga yote ya madini, Selous nichimbe Uranium na pori lote huko Namtumbo!!!"

kooooo.jpg


Mzungu anapobembeleza kupata kitu hata yuko tayari kuvua tai aonekane yupo mwenzako, lakini akisha pata utamwona kishaanza kuweka distance kati yako na yake.
 
Hizo picha zimebeba ujumbe mzito sana, mzungu siyo boya yeye ajinyenyekeze namna hiyo kwa ngozi nyeusi.
 
kooooo.jpg


Wazungu nao wakiamua kujilegeza huwezi kuamini, ndivyo anavyofanya huyu aliyekuwa anaogopwa na dunia nzima aliposhika dola Marekani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom