Picha ya leo - ajali ya lori lililobeba bia wananchi walewa chakari.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
b3.jpg

b2.jpg
 
Angalau hamna aliyepoteza maisha kwa ajali.

Kwenye hizo picha nasikia wananchi waliambiwa wanywe tani yao ila wasiondoke na chupa, kwa mtindo huo lazima walijilewea. duuh!!
 
Hili gari lingepindukia hapa calabash walahi tunaangalia hizo euro...
 
inaonesha watu walikunywa wakatambaa, hata kama si mlevi nahisi siku hiyo ungetest.
 
au uamsho walitegeshea kitu barabarani ili wapate sababu ya kuzinywa kama walivyofanya huko zenj kwenye harakati za kuvunja muungano
 
au uamsho walitegeshea kitu barabarani ili wapate sababu ya kuzinywa kama walivyofanya huko zenj kwenye harakati za kuvunja muungano
Tume ya uchaguzi analo jibu la swali hili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom