grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Mdau huyo kwenye avatar yako angekuwa kwetu Mombasa bila shaka angekuwa tajiri mkubwa.Nampenda R1 anajichanganya sana na walala hoi. Watoto wa masikini kama watoto wa baba wa Taifa.
Mdau huyo kwenye avatar yako angekuwa kwetu Mombasa bila shaka angekuwa tajiri mkubwa.Nampenda R1 anajichanganya sana na walala hoi. Watoto wa masikini kama watoto wa baba wa Taifa.
Totoz kama hii usipoipunguzia taa za mbele inaweza kuingia chocho.Le Mutuz hapa ulikula Kungu nini??
Mkuu umewaza mbali sana, hilo ni tabasamu tu.Nimesikia wataalamu wakisema kwamba ukubwa au upana wa lips unashabihiana mno na ukubwa/upana wa kiungo fulani katika mwili wa mwanamke kinachohusika na ustawi wa jamii, sasa kama hivyo ni kweli je huyu dada mwenye upara wa upande wa kushoto kwa Sinta atakuwaje jameni? Tusaidiane ili nipate kujua ukweli wenyewe...
Kitu mnato lakini kitakuwa cha kuumuka sana.Mkuu umewaza mbali sana, hilo ni tabasamu tu.
Kama ni kweli basi kwa Sinta ipo poa.
kaka acha kuniumizia mbavu zangu.Huyo jamaa wa nyuma yao mwenye koti jeusi mbona ameyakomalia makalio ya R1?
Dwight Yorke,former MU striker and RitzHapo nimemtambua mmoja tu, Thomas Mulambo, hawa wengine ni akina nani?
Hapo nimemtambua mmoja tu, Thomas Mulambo, hawa wengine ni akina nani?
Siwajui wote
Mwenyewe anaona amependezaa...
Jitu leusi tiii halafu bado anaweka tinted... :nono:
Tena limeshikiria makorokoro yote ya nini mkononi?
Huu ni ushamba tu; watu siku hizi wanatumia vitu SMART vina combination ya kila kitu!
Hii ni kutokana na uzpefu au hakika?Kitu mnato lakini kitakuwa cha kuumuka sana.
Totoz kama hii usipoipunguzia taa za mbele inaweza kuingia chocho.
tehe teheh tehe! humu ndani nako kuna visa.
Le Mutuz Mutu ya Kilo! Jamaa anapozi nyie acheni tu!
Mdau huyo kwenye avatar yako angekuwa kwetu Mombasa bila shaka angekuwa tajiri mkubwa.
Huyo jamaa wa nyuma yao mwenye koti jeusi mbona ameyakomalia makalio ya R1?
anamlindia nani hayo masaburi!!!???
atakuwa mlinzi wa RIZ1