Picha ya Le-Mutuz na watoto wa vigogo na mastaa wa kibongo, chezea nini wewe

huna lolote wewe..................BTW karibu katika klabu yangu ya volleyball nimeshaizindua inaitwa STD next week tutakuwa na mechi na mahasimu wetu Chicago ya babu yenu Asprin. kama wajua volleyball nikupe namba
Huyo volleyball ataiwezea wapi? Huyo zake kucheza shoo za miziki ya kikongo. BTW ushajiandaa kwa mechi, usije ukanitia aibu.

attachment.php
 
Dah umenikumbusha mbali sana kwa hii picha, naenda kuisikiliza tena ile nyimbo ya Mzee NAture!.
MG_92141.jpg
 
huna lolote wewe..................BTW karibu katika klabu yangu ya volleyball nimeshaizindua inaitwa STD next week tutakuwa na mechi na mahasimu wetu Chicago ya babu yenu Asprin. kama wajua volleyball nikupe namba

STD? (sexual transmission disease) ........au nimekosea kutohoa!!!!!!........by the way nigependa kuona wadada wanavocheza na vile viguo vyao burdaaaaaaaaaan..........kama watakuwepo nakuja
 
STD? (sexual transmission disease) ........au nimekosea kutohoa!!!!!!........by the way nigependa kuona wadada wanavocheza na vile viguo vyao burdaaaaaaaaaan..........kama watakuwepo nakuja

hii timu inaitwa standard queens bana siyo ulivyotoha wewe. wadada wapo tena wa nguvu, karibu.
 
Haya maneno hayana msingi wowote na kiubinaadamu unatakiwa umuombe radhi Malecela.

Ni udhalilishaji usiohusiana chochote na picha iliyobandikwa hapa. Hebu tuwe na heshima japo kidogo

Ndinani

JF Senior Expert Member

This message has been deleted by PainKiller.

Reason Imbecilic stereotyping waffle !

My take
That comment Ndinani was below the belt, it was much too uncivilsed!
I second Gaijind and Painkiller.

Nampenda R1 anajichanganya sana na walala hoi. Watoto wa masikini kama watoto wa baba wa Taifa.
 
Dah umenikumbusha mbali sana kwa hii picha, naenda kuisikiliza tena ile nyimbo ya Mzee NAture!.
MG_92141.jpg
Nimesikia wataalamu wakisema kwamba ukubwa au upana wa lips unashabihiana mno na ukubwa/upana wa kiungo fulani katika mwili wa mwanamke kinachohusika na ustawi wa jamii, sasa kama hivyo ni kweli je huyu dada mwenye upara wa upande wa kushoto kwa Sinta atakuwaje jameni? Tusaidiane ili nipate kujua ukweli wenyewe...
 
Back
Top Bottom