Picha ya Le-Mutuz na watoto wa vigogo na mastaa wa kibongo, chezea nini wewe

Njele

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
275
121
MG_9220.jpg
 
hii picha ya wadada huyu wa kulia ana undugu na Mpoki nini
Mwenyewe anaona amependezaa...
Jitu leusi tiii halafu bado anaweka tinted... :nono:
Tena limeshikiria makorokoro yote ya nini mkononi?
Huu ni ushamba tu; watu siku hizi wanatumia vitu SMART vina combination ya kila kitu!
 
Huyu jamaa na huo uzito wake analunywa coke


QUOTE=Kacharimbe;4345094]Hapo nimemtambua mmoja tu, Thomas Mulambo, hawa wengine ni akina nani?[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom