Picha ya Joshua Mulundi, Yule aliyemteka Dr Ulimboka

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
nimejitahidi sana kutafuta picha au walau history kidogo ya huyo aliyetambulishwa kama Joshua Mulundi raia ya kenya bila mafanikio.

Uki-google hilo jina unakutana na picha za Kova, no one (not even google) seem to have heard or seen the so called Joshua Mulundi before.

anyone with a clue about his past history?
 
  • Thanks
Reactions: UNO
Huyo ndo anaitwa jambazi SUGU. Hiyo ndo Tz mkuu. Kama ni jambazi sugu hata kwenye mtandao wa polisi hayuko. Ina maana hajawahi kutafutwa!!!!
 
nimejitahidi sana kutafuta picha au walau history kidogo ya huyo aliyetambulishwa kama Joshua Mulundi raia ya kenya bila mafanikio.

Uki-google hilo jina unakutana na picha za Kova, no one (not even google) seem to have heard or seen the so called Joshua Mulundi before.

anyone with a clue about his past history?

Khaaaa.....aisee!
 
Mbona picha ilishawekwa hapa yapata wiki mbili sasa ikionyesha chinja chinja likiwa limevaa shati la pundamlia kwani hukuiona??
 
Huyo Joshua Mulundi achunguzwe vizuri.
Manake asije kuwa ni binadamu wa kuchongwa special kwa ajili ya tukio la mabwepande
 
Mbona mie nilipoGOOGLE jina la huyo muuaji wa kuchonga kutoka Kenya nimekutana na picha tofauti; si nimekutana tu picha za ACP Ahmed Msangi, simu na kipochi cha Dr Ulimboka!!!

nimejitahidi sana kutafuta picha au walau history kidogo ya huyo aliyetambulishwa kama Joshua Mulundi raia ya kenya bila mafanikio.

Uki-google hilo jina unakutana na picha za Kova, no one (not even google) seem to have heard or seen the so called Joshua Mulundi before.

anyone with a clue about his past history?
 
Tanzania ni zaidi tuijuavyo,mie huwa najitahidi kuwaambia wana Mtwara wenzangu maneno haya.
 
Mimi naendelea kumchunguza Silencer yule Mod wa humu, ila mkiona ghafla sipatikani JF mjue ameshanipa ban!
 
Wanasema Joshua kapelekwa mahakamani na kesi haina dhamana hivyo alipaswa kuwa Keko au Segerea. Sasa huko kote hayupo yuko wapi? Kiini macho cha mwaka
 
Huyo Joshua Muyungi ni mtu wa kufikirika tu tu mkuu; hutokaa umuone katika hizo rumande zetu maana yuko pale 'Mambo ya Ndani' anaendelea kupiga mzigo tu kama vile hakuna kilichotokea hapo nyuma.

Wanasema Joshua kapelekwa mahakamani na kesi haina dhamana hivyo alipaswa kuwa Keko au Segerea. Sasa huko kote hayupo yuko wapi? Kiini macho cha mwaka
 
Mazingaumbwe hayo! Inanikumbusha enzi za akina power mabula, anavuta scania kwa meno! Hahahahah!
 
Hazugwi m2,janja yao kwishajua,wamepatikana hao magamba under jkuuu dhaifu daima,2na Mungu wana polccm,aluta continuaaaaa!May God bless Tanzanians
 
Back
Top Bottom