Picha ya Chenge na Sita Kwenye Udaku Magazini Yawa Kivutio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgt software, Nov 10, 2010.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 8,152
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 48
  Kama kwamba kama kuna watu wa Graphics wa hali ya juu leo nimeona kioja kwenye gazeti la Udaku la leo , Yaani wamewatoa Chenge na Sita wameshikana koo UK RA Akimpiga Mguni na EL akikaba koo, kam kuna mtu anweza kukopi aturushie mie sina scana, itakwa picha ya Ubunifu ya wikiend
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,930
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Mwe!!
   

Share This Page