Picha ya ajabu!

Mkuu user name yako wewe ni KIJOKA So hiyo picha inaweza ikawa ni LOGO Yako uliyoitengeneza kwa adobe photo shop. Kama ambavyo mtu anaejua kuchezea adobe anavyo weza kumuunganisha osama na burh wakaoneka kama wanasalimiana. Wel don!
 
Nashukuru. Wewe umeonaje lkn? Jibu bw. Usiwe na jaziba

Tukiwa na mazungumzo yakihusu kipepeo nitamuona kipepeo, mzui sana mwenye urembo wa kutosha.Na nitasema amezungushiwa maua ya nyokanyoka!

Na tukiwa na mazungumzo yakihusu nyoka basi nitamuona ni nyoka mzuri mwenye maua ya kupepeo.
 
Si kipepeo, si nyoka, si picha. Ni ubao umechongwa kwa maumbo ya kipepeo na nyoka.
 
heee!kweli duniani kuna mambo....ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni!mi nadhani labda baba wa huyo kiumbe ni nyoka then the mum is a butterfly!....:drum:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom