Picha: Wengi wajitokeza kuuaga mwili wa kamanda Liberatus Barlow leo Nyamagana

Polisi hawana rank kama hiyo.Mtiririko uko sawa.Pia hicho cha mwisho pia kina utata kwani ni ka-cheo ambako kwa mujibu wa PGO hakakutajwa na hakapo so nafikiri busara tuanzie na PC tu period

Oooh Majita nasikitika kukuambia PGO uliyosoma ni version ya zamani...sasa hivi kuna 2006 release!!!!!!!!!!

kasome upya. Na kwann unasema cheo cha SM (Sergeant Major - Sajini Meja) Hakipo?? ama umezoea kuitwa RSM...huo ni wadhifa ila anapotoka tu chuoni anapewa SM then akipangiwa mkoa/kikosi ndo anaanza kuitwa RSM kwasababu wakati mwingine SM huwa ni wachache mno hivyo SSGT ana kaimu wadhifa huo na yeye anaitwa RSM ilhali hana rank ya SM. Nadhani umenipata hapo.

Pili hapo kwa RC rudi kasome PGO ya 2006 then njoo tuongee..
Naomba kuwasilisha afande wangu.
 
Last edited by a moderator:
mi sijui kwa nini halijaniuma aisee!!!

Una ugonjwa wazungu wanauita "Hasty generalization" ama ugonjwa huu ukiwa serious sana unaitwa "bendera kufuata upepo (kwasababu kila mtu ameonesha kufurahi na mimi nafurahi)"..but najua koz wewe ni great thinker basi wewe una hiyo hasty generalization.

Dawa:
Jaribu kumchukulia mtu kama yeye (as an individual).
Natanguliza shukrani.
 
nyc try!!!!!!!!!!!

Naomba kuuliza. Hivi huyo afisa usalama wa taifa Major Jacob Mutashi (aliye katika moja ya picha zilizo hapo juu) ana uhusiano wa kindugu na yule Mwalimu Dr Jacob Mutashi ambaye uwa anafundisha mambo ya kiroho redioni kwenye kipindi cha Revival Time pale Kiss FM ya Mwanza? Nauliza hivyo kwa sababu kwanza majina yao yanafanana, umri wanakaribiana na zaidi ya yote wanafanana sana.
 
Naomba kuuliza. Hivi huyo afisa usalama wa taifa Major Jacob Mutashi (aliye katika moja ya picha zilizo hapo juu) ana uhusiano wa kindugu na yule Mwalumu Dr Jacob Mutashi ambaye uwa aanafundisha mambo ya kimungu redioni kwenye kipindi cha Revival Time pale Kiss FM ya Mwanza? Nauliza hivyo kwa sababu kwanza majina yao yanafanana, umri wanakaribiana na zaidi ya yote wanafanana sana.

Nadhani ni yeye. Na pia ni muimbaji wa nyimbo za injili
 
Nadhani ni yeye. Na pia ni muimbaji wa nyimbo za injili
Yaani mkuu unamaanisha kwamba huyo mwalimu Dr Jacob Mutashi wa Revival Time ambae pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili kule Mwanza na ambae pia aliwahi kuimbia bendi ya Mbaraka Mwinshehe na kuitungia ule wimbo maarufu wa "Enyi Vijana Sikilizeni" ndiye huyo huyo aliye hapo pichani kwenye msiba?
 
hii kesi bado inaendelea na watuhumiwa wamekamatwa huwa inatolewa kwenye gazeti la mwananchi.
 
Yaani mkuu unamaanisha kwamba huyo mwalimu Dr Jacob Mutashi wa Revival Time ambae pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili kule Mwanza na ambae pia aliwahi kuimbia bendi ya Mbaraka Mwinshehe na kuitungia ule wimbo maarufu wa "Enyi Vijana Sikilizeni" ndiye huyo huyo aliye hapo pichani kwenye msiba?

Yes mkuu
 
Mmmh. Basi mimi nikajua kuwa ni watu wawili tofauti na kwamba huyo mmoja aliye pichani yuko wizara ya mambo ya ndani Dar es Salaam na mwingine (Mwalimu Dr Jacob) yuko Mwanza akiendelea na kueneza injili. Kwa hiyo anafanya kazi mbili kwa pamoja yaani usalama wa taifa na kuhubiri injili? Au ni watu wawili tofauti mkuu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom