Picha: Wengi wajitokeza kuuaga mwili wa kamanda Liberatus Barlow leo Nyamagana

hivi huyu kamanda hakuacha mke wala watoto?? au ndio wamepotezewa?
 
hivi huyu kamanda hakuacha mke wala watoto?? au ndio wamepotezewa?

ah kuna dogo nmemuona kwenye picha hapo kafanana na kamanda yani!!!

kamanda dogo copy.jpg
 
We vipi utajuaje kuwa walioko hapo ni CDM au CCM hujatulia malizia viroba vyako vya konyagi kisha usiwalipe ile mia 200 iliyoongezeka uje uone kazi yake

Nilikuwepo eneo la tukio.
1. walianza makamanda wa mkoa kutoa salamu za rambirambi, na walitoa kila kamanda na pesa kama sehemu ya kusaidia shughuli za kuhani. wengine milion, wengine laki kadhaa wengine milion 2.
2. Wakafuatia viongozi wa dini, nao na umoja wao wakatoa 300,000/
3. Wakafuatia CCM mkoa wa mwanza, isiyo na mbunge wa kuchaguliwa bali yupo wa kuteuliwa, zikatoka 1,000,000/-
4. Ikafuatia CCM mkoa wa geita, pamoja na uchanga wao, lakini wameshukuru kufanya kazi na kamanda wakati Geita ikiwa sehemu ya Mwanza, nao wakatoa 1,000,000/-
5. Wakakaribishwa CCM B a.k.a CUF, mwakilishi hakuibuka, alikaa kimya.
6. Wakakaribishwa CHADEMA, chama chenye wabunge wawili hapa mjini na wabunge wengine wako wilyani, alzungumza mambo mazuri, akawaasa wananchi kuendeleza ushirikiano na WATUMIE Dhana ya PEOPLES POWER kuwafichua waliohusika na mauaji ya Barlow, na waendeleze ushirikiano. Yeye tofauti na wengine wote waliotangulia, waliomalizia kwa kutoa RAMBIRAMBI, yeye alitaja jina lake tu. Watu walinung'unika, wakionesha wanataka kusikia CHADEMA wamechangia bei gani kwenye msiba huo.
7. Wakakaribishwa wajumbe wa kuzuia uhalifu mwanza, nao wakatoa 2,000,000/-
8. Wakafuatia chama cha wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro ambapo Balow alikuwa ni mwanachama mzuri nao wakatoa 2,000,000/-.

Ta Muganyizi Huoni kuwa CHADEMA hawakujiandaa?
 
Serikali inabidi iangalie namna ya kuboresha ulinzi jijini Mwanza inaonyesha wahalifu wanafanya mambo yao kirahisi sana, inanikumbusha kile kipindi watu wa aina kama hii walitaka kuwaua viongozi wa chadema kwa kuwapiga na vitu vizito kichwani almanusura wawaue, safari hii wahalifu hao wamefanikiwa kumuua kiongozi wetu mpenzi lebelatusimalo
 
rest in peace,So sad the way you have gone.Ulikuwa na muda wa kulitumikia Taifa lako but style ya maisha imekuponza.Pole kwa mke wako na watoto
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahali alipo jichagulia mwenyewe siku za uhai wake.sio kila atakae kufa basi tuna mpangia Mungu amlaze peponi.
 
Mimi najiuliza ikiwa polisi kamanda mwenye madaraka makubwa ya SACP anauliwa kiholela hivyo halafu viongozi Magamba wanaendelea kusema nchi ya Tanzania ina usalama, sielewi na sitaelewa. Kwanza usalama ni nini? Kama kungekuwa na usalama hapa Tanzania leo hii tungeshuhudia kuona waarabu na wahindi wakiishi sehemu kama Buguruni, Temeke, Mbagala, Pugu, Chanika, Kisarawe, Mkuranga, Mbezi/Kimara nk. lakini hali siyo hiyo hawa waarabu na wahindi wamejaa pale Kariakoo kiasi kwamba wako tayari kumhamisha mswahili kwa bei yoyote ili wakae wao na huku wanajiita watanzania wenzetu, hii imekaaje!!!
Kuna mzee mmoja ameniambia enzi za kupata uhuru ilikuwa unakuta wahindi, waarabu sehemu za Kisarawe, Mkuranga, bagamoyo, sasa nini kimefanya hali hii ibadilike?kujitawala kumeondoa usalama uliokuwepo?
 
NOTE:

NI ACP (Assistant Commissioner of Police - Kamishna Msaidizi wa Polisi) siyo SACP (Senior Assistant Commissioner of Police - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi)... ACP Liberatus Lyimo Barlow.

Natanguliza shukrani.
Hata angekuwa SSP hayatuhusu, mbinguni hakuna cha OCS wala IGP
 
Nilikuwepo eneo la tukio.....
6. Wakakaribishwa CHADEMA, chama chenye wabunge wawili hapa mjini na wabunge wengine wako wilyani, alzungumza mambo mazuri, akawaasa wananchi kuendeleza ushirikiano na WATUMIE Dhana ya PEOPLES POWER kuwafichua waliohusika na mauaji ya Barlow, na waendeleze ushirikiano. Yeye tofauti na wengine wote waliotangulia, waliomalizia kwa kutoa RAMBIRAMBI, yeye alitaja jina lake tu. Watu walinung'unika, wakionesha wanataka kusikia CHADEMA wamechangia bei gani kwenye msiba huo......

kwahiyo maadnalizi ya msiba ni kutoa pesa tu?? kazi tunayo
 
RIP Kamanda wa Polisi.

Naomba kuuliza wakuu
(1) Hivi yule mama aliyekuwa na marehemu dakika za mwisho yupo hapa katika picha.

(2) Hivi siku ile wale wabunge wa CDM walipojeruhiwa kule Mwanza, je huyu Marehemu alikuwepo naye??




MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
uliiba mke wa mwenzio...mungu akulaze panapostaili

ndio unatueleza saa hizi? Kilichotendeka kimetendeka ulichokuwa unajua kaa nacho hakitujengi kwa sasa. Yatakayompata huko mbele ya safari ni yake kwani atavuna alichopanda.
 
Je wenye madaraka amewaachia somo gani kuhusu totoz na kujilisha pepo? Tutegemee nani toka Kilimanjaro kuchukua nafasi yake? Hapa Said Mwema kapata fursa ya kumteua mchaga mwenzake mwingine bila shaka.
 
Back
Top Bottom