Picha: Wengi wajitokeza kuuaga mwili wa kamanda Liberatus Barlow leo Nyamagana

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

1.jpg

Afande George Msangi akiongoza ratiba za kumuaga aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Ballow aliyeuawa usiku wa kuamkia jumamosi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi katika eneo la Kitangiri karibu na Hotel ya Tai Five.

2.jpg

Msafara wa magari ya kuleta mwili wa marehemu Liberatus Ballow yakiingia katika uwanja wa Nyamagana ili viongozi na wananchi mbalimbali wapate kuuaga mwili huo.

3.jpg

4.jpg

Magari yakiingia kwa uwanja wa Nyamagana..

5.jpg

Maaskari walioteuliwa kubeba mwili wa marehemu Liberatus Ballow wakiwa wamejipanga vyema ili mwili uweze kutolewa ndani ya gari ili uwekwe sehemu nzuri ambayo kila mtu anaweza kuuaga vizuri.

6.jpg

Hapa wakiushusha kutoka ndani ya gari ili waweze kuubeba.

7.jpg

Safari ya kuelekea sehemu maalum iliyopangwa kwa ajili ya mwili wa marehemu ilianza hiviii..

8.jpg

Maaskari wakiwa sawa kutekeleza jukumu lao..

9.jpg

10.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Everest Ndikillo akienda kuuaga mwili wa marehemu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Ballow katika uwanja wa Nyamagana leo.

11.jpg

Viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakisimama kwa dakika chache kuupa heshima mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow.

12.jpg

Baadhi ya Maafisa ya Jeshi la Polisi

13.jpg

Afisa Usalama wa Taifa Meja Jacob Mutashi mwenye suti nyeusi kulia akionekana pichani.

14.jpg

15.jpg

Mwili wa Marehemu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Ballow.

16.jpg

Mwandishi Peter Fabian kutoka gazeti la Mtanzania akiweka picha vizuri ya marehemu kamanda Liberatus Ballow.

17.jpg

Saluti kutoka kwa Maafisa wa Polisi walizamu kwa Marehemu Kamanda wa Mkoa wa Mwanza Liberatus Ballow wakitoa heshima za mwisho.

18.jpg

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Joyce Masunga akiweka saini katika daftari la maombolezo katika msiba wa marehemu kamanda Liberatus Ballow katika uwanja wa Nyamagana.

19.jpg

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Kaminishina Richard Manumba akisalimia na Mkuu wa Wilaya ya Magu Bi. Jackline Wana huku Katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza Bi. Rosemary Mwanyika akiwa mbele mwenye suti nyeusi.

20.jpg

Ibada ya ya kumuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow kama ilivyoongoza na Watumishi wa Kanisa la Roman Katoliki maana kamanda alikuwa muumini wa kanisa hilo.

21.jpg

Wakuu wa wilaya mbalimbali katika Mkoa wa Mwanza na baadhi ya viongozi wa serikali, vyama vya kisiasa wakionekana katika picha wakiwa na majonzi makubwa kumpoteza kamanda Liberatus Ballow.

22.jpg

Wananchi mbalimbali kutoka katika Mkoa wa Mwanza na nje ya Mkoa wa Mwanza wakionekana katika tukio la kuuaga mwili wa Kamanda Liberatus Ballow.

23.jpg

Wanafamilia wa marehemu kamanda Liberatus Ballow wakiwa na majonzi makubwa sana katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa mpendwa wao Liberatus Ballow.

24.jpg

25.jpg

26.jpg

Maafisa wa Majeshi aina mbalimbali kutoka Tanzania wakionekana katika hafla la kuuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow.

27.jpg

Mabanda ambayo watu wamekaa kwa utulivu wakiuaga mwili wa kamanda Liberatus Ballow.

28.jpg

Umati mkubwa watu wakiwa katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Ballow.

Picha zote na B Plus Blog
 
Apumzike kwa amani safari yake ya maisha imefikia mwisho

(Ila huyo Askar mwenye mwili mkubwa hivyo aise hata mazoezi anafanya kweli)
 
1.jpg

Afande George Msangi akiongoza ratiba za kumuaga aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Ballow aliyeuawa usiku wa kuamkia jumamosi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi katika eneo la Kitangiri karibu na Hotel ya Tai Five
4.jpg

Magari yakiingia kwa uwanja wa Nyamagana..

5.jpg

Maaskari walioteuliwa kubeba mwili wa marehemu Liberatus Ballow wakiwa wamejipanga vyema ili mwili uweze kutolewa ndani ya gari ili uwekwe sehemu nzuri ambayo kila mtu anaweza kuuaga vizuri.

6.jpg

Hapa wakiushusha kutoka ndani ya gari ili waweze kuubeba.

7.jpg

Safari ya kuelekea sehemu maalum iliyopangwa kwa ajili ya mwili wa marehemu ilianza hiviii..

8.jpg

Maaskari wak
9.jpg

10.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Everest Ndikillo akienda kuuaga mwili wa marehemu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Ballow katika uwanja wa Nyamagana leo.

11.jpg

Viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakisimama kwa dakika chache kuupa heshima mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow.

12.jpg

Baadhi ya Maafisa ya Jeshi la Polisi wakionekana katika flash ya Blogu yako ya Fpluss Blog.

13.jpg

Afisa Usalama wa Taifa Meja Jacob Mutashi mwenye suti nyeusi kulia akionekana pichani.

14.jpg
16.jpg

Mwandishi Peter Fabian kutoka gazeti la Mtanzania akiweka picha vizuri ya marehemu kamanda Liberatus Ballow.

17.jpg

Saluti kutoka kwa Maafisa wa Polisi walizamu kwa Marehemu Kamanda wa Mkoa wa Mwanza Liberatus Ballow wakitoa heshima za mwisho.

18.jpg

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Joyce Masunga akiweka saini katika daftari la maombolezo katika msiba wa marehemu kamanda Liberatus Ballow katika uwanja wa Nyamagana.

19.jpg

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Kaminishina Richard Manumba akisalimia na Mkuu wa Wilaya ya Magu Bi. Jackline Wana huku Katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza Bi. Rosemary Mwanyika akiwa mbele mwenye suti nyeusi.

20.jpg

Ibada ya ya kumuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow kama ilivyoongoza na Watumishi wa Kanisa la Roman Katoliki maana kamanda alikuwa muumini wa kanisa hilo.

21.jpg

Wakuu wa wilaya mbalimbali katika Mkoa wa Mwanza na baadhi ya viongozi wa serikali, vyama vya kisiasa wakionekana katika picha wakiwa na majonzi makubwa kumpoteza kamanda Liberatus Ballow.

22.jpg

Wananchi mbalimbali kutoka katika Mkoa wa Mwanza na nje ya Mkoa wa Mwanza wakionekana katika tukio la kuuaga mwili wa Kamanda Liberatus Ballow.

23.jpg

Wanafamilia wa marehemu kamanda Liberatus Ballow wakiwa na majonzi makubwa sana katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa mpendwa wao Liberatus Ballow.

24.jpg

25.jpg

26.jpg

Maafisa wa Majeshi aina mbalimbali kutoka Tanzania wakionekana katika hafla la kuuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow.

27.jpg

Mabanda ambayo watu wamekaa kwa utulivu wakiuaga mwili wa kamanda Liberatus Ballow.

28.jpg

Umati mkubwa watu wakiwa katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Ballow.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA
B Plus Blog

Duuh! So sad to end up the way things have happened.RIP kamanda Liberatus
 
Vipi jamani imeishaundwa tume, ama hapam hataitajigiki tume! Muuh labda hii itawakumbusha kuacha kuua raia, kuacha kufanya kazi kisisa nabadala yake kuwa more professinal. Siku hizi hata bunduki mnanyanganywa! It is a big shame!

Labda hii itasaidia Wakuu wa Jeshi la Polisi kutambua uchungu wanaopata ndugu wa marehemu ambao huwa wanawaua.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
NOTE:

NI ACP (Assistant Commissioner of Police - Kamishna Msaidizi wa Polisi) siyo SACP (Senior Assistant Commissioner of Police - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi)... ACP Liberatus Lyimo Barlow.

Natanguliza shukrani.
 
mbona watu wachache sana wanatoa pole(comment za pole) kwa familia ya marehemu?

km vile hili swala halijawauma wengeee?
 
NOTE:

NI ACP (Assistant Commissioner of Police - Kamishna Msaidizi wa Polisi) siyo SACP (Senior Assistant Commissioner of Police - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi)... ACP Liberatus Lyimo Barlow.

Natanguliza shukrani.

mkuu wengi wanakosea sana hivi vyeo! asante kwa kutusahihisha. . . .
 
CHADEMA hawakujipanga na msiba huu, wameaibisha kiaina.
 
Attachments

  • DSC_0000645.jpg
    DSC_0000645.jpg
    26.4 KB · Views: 131
Back
Top Bottom