PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

Status
Not open for further replies.
Mmmmmmh baada ya hapo watu wanapiga kazi bila hata kutumia DAWA YA PENZI.
 
Hakuna lolote hapo,namshangaa huyo chalii kadata wakat anajua kabisa huyo manz hajui kupenda.....shit!
 
duuuhhhhh hilo picha la tatu ni nooomaa.... shingo yasuuuuzwaaa.. mmmhhhhhhhh,, safiiiii.. thats the real meaning of being a celeb.. u make headlines.. n people a doing business through you.. ila kuweni makini na NGOMA.... kufulia kawaida.. ushakula raha "ALMASI".. swali ni baada ya wewe.. ch*ngu huyo atajiegesha wapi???/
 
Huyu Bint siku akiupata ujauzito si utakuja leta songombigo, nani mwenye mzigo maana naona yeye ni very liberal yaani ukimuomba hana ubaya maana yeye kapewa abebe tu wengine waje watumie. Mmm ipo kazi kweli kweli
 
tatizo la hawa vijana wetu nikuwa mbali ya kuzalisha habari chafu kama hizi hivi wanao uzalishaji mwingine?
 
hizi picha nani kazipiga maana inaonekana kama watu walijitaayarishaa kupigwa picha! na why ziletwe humu? zina faida gani kwetu? ukiangalia heshima ya jukwaa hili katika kujadili na kuibua masuala mzito ya taifa unashangaa ni namna gani tupoteze muda kuangalia picha za msanii wa maigizo akibusiana na mwanamuziki!!!!!! by the way wema ana ugonvi gani na waandishi maana kila kukicha mnaye! kama ni umalaya mbona karibu kila msanii ni mhuni but hawatolewi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom