PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

Status
Not open for further replies.
Ninavyoona kwenye picha sidhani kama ni wema. Labda kama wema simfahamu vizuri.
 
Tumeishaziona hizi mara kwa mara tena hapa hapa....jamani wengine tunapoweka thread tuwe tunafanya hata utafiti kidogo....
 
Hivi hawa makahaba wamelipia haya matangazo yao? Maana wiki ya tatu sasa thread nyingi zinawekwa hapa na mletaji ni yuleyule El Toro.
Anafanya kazi ya kubadili heading ya thread tu.
 
Pole Diamond kwa hilo furushi ulilojitwika..mie sisemi kuhusu hilo Domo lako Eti Reefu..! Hiyo ni kazi ya aliyekuumba
 
Dogo Diamond, hivi hujashtuka tu kuwa unaibiwa? Uliza basi walioibiwa kabla yako hali ilivyokuwa, ili utakaposhtuka usisikitike!
 
Acheni maisha ya watu kwani Wema anawapatia nyie shida gani ama ni wivu mwacheni mtoto atumie mwili wake.
 
namuhurumia DIAMOND.....jana nimemuona akiperform hapa MOSHI.....tatzo la kulewa sifa bila ELIMUUU...... yaan hana hata mshauri w maisha yake????? loooioooii
 
diamond has just lost it............. it doesnt matter how wema looks, her engine is way over the mileage
 
namuhurumia DIAMOND.....jana nimemuona akiperform hapa MOSHI.....tatzo la kulewa sifa bila ELIMUUU...... yaan hana hata mshauri w maisha yake????? loooioooii
 
Kwa upeo wangu mimi Wema hana tatizo maana yuko ki maslahi yake zaidi, tatizo liko kwa huyu dogo naona ndiyo anayaanza mambo haya. anahitaji ushauri nasaha, wapenzi na nduguzake watampoteza.
 
ah! waacheni!!!
Diamond anamfahamu Wema na wema anamfahamu Diamondi vizuriiiiiiiiiiiiiii
Sasa sioni haja ya kusemaaaaaaaaaa oooh Diamondi kapotea.... oooh kabemendwa....
Waacheni jamani kama wanapendena wao ni maisha yao wameyachagua wao!!
 
Hivi mtu kufanya mambo yake kuna ubaya gani? Wote ni wasanii masupastar, wameamua wao wenyewe kufanya hivyo, sasa ni kwamba mnawaonea wivu au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom