PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

Status
Not open for further replies.
yaani huwa nawaonea huruma sana huyu dada na kale kabinti lulu, cjui ni kutokujitambua? kama hawana wazazi vile jamani, imagine mama unaona ma pics ya mwanao mtandaoni yamezagaa kiajabu hivi.....
 
rip ka-yo yo
Juma4 Malecela liambiwa hivyo sasa hivi yu ngangari @New York
good news ni kuwa Yo Yo kaniahakikishia atanitumia video ya muendelezo wa picha hizi na mimi kwa kuwapendeni nitaziweka kama zilivyo.

Shukrani za pekee ziwaendee Wema na Diamond kwa kutupa mautamu tunasubiria na wengine kama msanii LuLU nae aje na mapicha yenye utamu kama huu
 
KUTEMBEA NA MWANAMKE ANAYEGAWA URODA KWA KILA RIKA, TENA WENGINE UNAFANYA KAZI NAO, KUNAHITAJI AKILI YA MWENDAWAZIMU HIVI. Pole Dogo
 
Huyu Wema atakuwa na pepo la ngono..sio siri..anabadili wanaume evry day.
 
Nilisikiliza interview ya Wema,anajitahidi kujitetea kwa sentensi za kipumbavu.
"Dada Nuru aliniambia mdogoangu hadi kuolewa lazima uwe umetembea na wanaume si chini ya 25"-WEMA
nikashangaa,kumbe anataka kutimiza alichoambiwa?
Then anapenda publicity khs maisha yake kimapenzi. Mbona Jokate,Richa,Genevive,Regina Mosha,Nancy,Irene Kiwia hawatokei front page kwa mambo ya kipuuzi?
Anahitaji Nyakanga!
 
Anahitaji Nyakanga![/QUOTE

] hakya nani hapo kwenye red AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO eeh Mungu umsamehe hajui atendalo.
ajabu haya mapicha huko fb kuna wanaomsifia eti umependeza,, u rock ma ujinga tu looooh.
 
Shugamami, Wema Isaac Sepetu amenaswa live ‘akimbemenda' serengeti boy, Naseeb Abdul ‘Diamond', kila kitu kinajieleza kwa picha.

Wema katika mapito yake ya kimapenzi ameweka rekodi ya kuwa na wanaume mbalimbali, hivyo uzoefu wake kwenye ‘yale mambo yetu' ni mkubwa kwa maana hiyo mbele ya Diamond yeye ni sawa na shugamami ‘anayembemenda' serengeti boy.

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Dogo anafaidi kinoma au ndio kashikwa na dege la jeshi??
 
Attachments

  • wema3.jpg
    wema3.jpg
    51.4 KB · Views: 4,238
  • wema4.jpg
    wema4.jpg
    52 KB · Views: 4,350
  • wema5.jpg
    wema5.jpg
    73.2 KB · Views: 4,181
  • wema6.jpg
    wema6.jpg
    49.1 KB · Views: 4,306
Wema ni mrefu, mnene tofauti na Diamond ambaye hana ‘supu', kwa hiyo ni mwembamba na kuhusu kimo, inabidi asimamie vidole ili alingane na mlimbwende huyo.
Tofauti hiyo ya maumbo inafanya Wema aonekane anambemenda Diamond kila wanapokuwa pamoja.

----Ni vema Diamond akatambua kuwa huyo ndiye Wema a.k.a mfupa uliomshinda Kanumba, Jumbe, Charlz Baba na wengine ambao waliamini wangefunga ndoa, kwa hiyo pamoja na kumpenda anapaswa kulinda heshima yake na ya familia yake.
 
kuna watu hawajui kuna mungu jamani...unawapaje mkate wa kila siku familia yako kwa pesa ilotokana na kudhalilisha na kufedhehesha watoto wa wenzio,tukumbuke kuna kesho jamani!
 
kuna watu hawajui kuna mungu jamani...unawapaje mkate wa kila siku familia yako kwa pesa ilotokana na kudhalilisha na kufedhehesha watoto wa wenzio,tukumbuke kuna kesho jamani!
Wenzio ndo wanafurahia maisha hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom