Mwitongo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2009
- 312
- 360
MATAMASHA ya halaiki lazima yaendelee, tena yadumu milele. Tatizo si hayo matamasha, bali ni viongozi wahuni wasiotaka kuwalipa watu stahiki zao. Halaiki hata Marekani watoto wanashiriki. Yanajenga umoja, mshikamano na ukakamavu. Shida hapa ni dhuluma tu, na si maudhui ya kuwapo shughuli hiyo ya Halaiki.