Picha: Warangi ni warembo balaa!

What is wrong with kukeketwa? Are you sure your mother is not mutilated! These are African customs! They might be overdue, but it is not healthy to use the term in a derogatory sense to your fellow beings particularly your sisters!
mh! Umevunja yai balaa. Wenzako wa div 5 tumetoka hola!
 
kama hii...?

1234410_517108215039166_1930890537_n.jpg

hii ya kibondo kwenye funza
 
mh! Umevunja yai balaa. Wenzako wa div 5 tumetoka hola!

Umenielewa, nasema sawa kukeketwa kumepitwa na wakati, lakini tusiwabeze dada zetu ambao wamekeketwa kama vile hawana thamani. Ni mila zetu za kiafrika, zimepitwa na wakati lakini tusiwabeze waliokekektwa enzi hizo. Sipendi mkuwabeza wanawake maana ni mama zetu,. Si ajabu namama zetu wamekeketwa!
 
Kwa sura wanatisha ongeza na ndugu zao warangi, wanyiramba na akina lawayi#saita sayu
 
Back
Top Bottom