Picha: Warangi ni warembo balaa!

hapo naona zizi letu litapungua sana bora wasukuma wasipite huku
 
Hili sio tatizo, ni roho nzuri tuu hizi!.
Ama kweli binadamu hana wema, mkinyimwa, mnalalamika, mkihurumiwa mnakashifu!.
Pasco.

Pasco
Naona umefikishwa, maana hapo ndo akili zako hupotezwa kabisaaa..!

Lakini ikibadilishwa mchezo huo wakafanyiwa dada zako utajihisi vipi?
 
Hili sio tatizo, ni roho nzuri tuu hizi!.
Ama kweli binadamu hana wema, mkinyimwa, mnalalamika, mkihurumiwa mnakashifu!.
Pasco.

Hapa unaonyesha tabia za watu wa nyumbani kwako.
We unaejifanyafanya kukanya jamii na kuwaasa watu wawe waumgwana. Leo umalaya na uzinifu unauita roho nzuri!
Ama kweli mama Pasco kazaa kibwengo!
 
Last edited by a moderator:
Warangi, Wambulu, Wanyaturu, ni jamii za Wairaque wa Tanzania, wanawake wao ni wazuri kwa sura, weupe, pua za kisomali na nywele za singa!, warefu, wembamba, hana leggy line, kwa uzuri wa kupendeza machoni, ni wazuri sana, pia wana roho nzuri, ila ...
Pasco
Pasco,

Wewe unaonekana katika post nyingi humu unapenda kudhalilisha wanawake, si ndio?
Au kwa sababu huna dada, iko siku watakushika wakutie adabu vibaya sana!!
 
Last edited by a moderator:
Nilisoma na dada mmoja kwa jina la A. Ndulla, mrangi we! hakuwa na roho mbaya hata kidogo, alikuwa anajifanya mpenda michezo sana na ni yeye aliyenifanya niamini kuwa kushiriki sports kunaongeza nyege tofauti na wengi wanaoamini kuwa mazoezi ya mwili hupunguza hizo vitu!
 
Jamani, Mungu hakupi vyote.
Wekeni picha zao walizo vaa vimini mwone (miguu )hizo spok zilivyo komaa zinatishaaaaa!.halafu miguu yao mhogo una nafuu kwa kupauka.
 
Sure hawa watu wanahuruma sana,wheter u ask, they just give u. Ni kweli kuwa wana-culture ya kukeketwa....
 
Back
Top Bottom