Picha: Wana CCM Ilala (Dar), wakisherehekea jana, wakati taifa linaomboleza msiba

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,973
3,901
Wakuu,

Wakati taifa linaomboleza kwa siku tatu kuanzia JANA, Jana hiyo hiyo CCM, Dsm, wilaya ya Ilala, mahali alipo mkiti wa ccm Taifa na ikulu ya magogoni, wanasherekea ktk ukumbi wa Vasco Dagama Pugu, eti wanapongezana baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa ngazi ya kata.

Sijawahi kuona chama Cha siasa, tena ngazi ya wilaya Ilala ilipo Ikulu ya Rais wakifanya kitu cha ajabu namna hiyo.

Mbaya zaidi, wanasherekea kwa furaha na tabasamu kabisa wakati wenzao na Taifa zima kwa ujumla tunaomboleza huku Bunge likiwa limeahirishwa.

Habari hii haina ubishi maana baada ya kukereka sana niliwatuma vijana wa idara ya Inteligence ya Chadema Jimbo la Ukonga na wakafanikiwa kuingia hadi ukumbini, wakapiga picha hizi hapa JF. Kazi zote zimefanyika within 45 minits ago.

Kwa kweli nimesikitika sana, au tuseme CCM huwa inafurahia watanzania wanapokufa? Wanawezaje kufanya jambo la ajabu namna hii?.

Wakati huo huo, Nape anawadanganya watz ktk face book kuwa mkutano wa ccm Kigoma umeahirishwa. Je, CCM ilala haiko chini ya uongozi wa Nape?

Je, CCM Ilala, wana haraka gani? Mbona sisi Chadema Ukonga tumeahirisha mkutano wetu hapa Ukonga hadi Jumapili na tumekubali hasara ya fedha?

Huu siyo ushabiki wa kisiasa, hii ni aibu ya Kitaifa bila kujali itikadi ya vyama.


IMG_1484.JPG IMG_1485.JPG IMG_1485.JPG

IMG_1486.JPG IMG_1486.JPG IMG_1487.JPG IMG_1487.JPG

IMG_1487.JPG IMG_1487.JPG



IMG_1489.JPG
 
Aweda Mbona Mchokozi lakini.......mutawauwa kwa presha watoto wa wenzenu.:wacko:
 
mkuu mimi naona ni sawa acha washerehekee mbona mambo mengine ndani ya taifa yanaendelea kama kawaida?ulitaka wafanyeje sasa manake hawawezi kwenda kupiga mbizi kuokoa miili iliyozama
 
Wakuu,

inatisha, sijaona chama lala kama hiki kufanya sherehe wakati watanzania wanaomboleza msiba mkubwa. Shame of you shishiem.



Aweda Mbona Mchokozi lakini.......mutawauwa kwa presha watoto wa wenzenu.:wacko:
 
Ndiyo maana wenye akili zao wamesema hii ajali si BURE...Ina mkono wa CHUMA wa DHAIFU NA CHAMA lake!
 
Mzee kuwa mwangalifu sana...uchokonozi wa aina hii unaweza kupelekea ung'olewe meno/kucha...
 
akuna kipindi ambacho muungano umekuwa dhaifu zaidi kama kipindi hiki-Tundu lissu mb. mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungenu
 
We jamaa naomba namba yako nikutumie meseji ya vitisho sasaivi maana naona unachokonoa chokonoa sana
 
attachment.php


Yaani wengine wanakunywa Coca na Kipaplipapli wakati wakati watu wanaopolewa Baharini huko Chombe?...Hivi hizo sodA ZINASHUKAJE?
 
Yaani wengine wanakunywa Coca na Kipaplipapli wakati wakati watu wanaopolewa Baharini huko Chombe?...Hivi hizo sodA ZINASHUKAJE?

SIASA bhana yaani full usanii, hao ndugu nyuso zao zinaonekan kabisa hazina hata tone la matumaini lakini jinsi walivyojiachia...duh!
 
Watu wenyewe wanaonekana na mawazo kama nini!!, Njaa kali!!. Kama vile wamelazimishwa kufika hapo.
 
Back
Top Bottom