picha wakina mama hospitalini

kwa Watanzania tulio wengi shida ni sehemu ya maisha ambayo siku zote huwa tunasema, "tunamuachia Mungu".
Sio kwamba viongozi wa serikali hawalijui hili, ni ubinafsi na laana za huko wanakoroga ili waingie madarakani ndio zinawafuatilia wao na nchi yetu.
 
ni hawa hawa wanaodanganywa na kanga na vilemba kupiga kura na kuirudisha madarakani serikali ile ile
 
Naamini kuna sehemu ambayo watajibu kwa nini waliyafanya yote haya hawa ccm na viongozi wake. wamekuwa na roho za kutu, zenye ukakasi zilizojaa dhuluma na ubinafsi uliovuka mipaka mpaka wanasahau thamani na utu wa binadamu kwa sababu ya kujilimbikizia mali ambazo hawawezi kuzitumia wakazimaliza. Viongozi wote waliohusika na kutufikisha hapa Mungu awape mnachostahili na mliomfanyia unyama Dr. Ulimboka mtapatikana tu popote mlipo na mtasema nani aliwatuma kuja kutuumizia mkombozi wetu kwenye mambo ya afya.
 
Back
Top Bottom