picha wakina mama hospitalini

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakina mama wakisubiri kujifungua,jamani hii ndio serikali ya magamba ccm inajivunia miaka 50 ya uhuru???hizo gharama za kumteka na kumwumiza vibaya docta ulimboka zingetosha kununua vitanda 5,haya safari ya huyo msafiri vasco dagama na msafara wake zisingetosha kuwanunulia hawa mama zetu vitanda??hizo hilo zilizokutwa uswis za hao majambazi wa ccm hazitaweza kununua vitanda vya wakina mama nchi nzima????​
 
attachment.php
 
Mi ni mejua labda wako jela hawa akina mama Duh! Hivi sisi ni Binadamu kama walivowengine? wanaoweza kujiuliza na wakapata majibu ya kuondoa Matatizo yao na Viongozi Dhaifu kama hawa ccm?
 
Unauma kwa kweli,inabidi pande zote mbili wakae wajadiliane na waone jinsi ya kutatua matatizo yanayokabili hospital zetu za serekali.Si dhani kama hakuna kitu kisichowezekana kabisa shida kila mtu (serekali na madktari) wanaonyeshana ubabe na mwisho ni sisi wananchi wa kawaida tunaumia (ona hao akina mama sasa wanapata double impact,yaani sasa no matibabu na the same time madaktari wamegoma)
 
Wakina mama wakisubiri kujifungua,jamani hii ndio serikali ya magamba ccm inajivunia miaka 50 ya uhuru???hizo gharama za kumteka na kumwumiza vibaya docta ulimboka zingetosha kununua vitanda 5,haya safari ya huyo msafiri vasco dagama na msafara wake zisingetosha kuwanunulia hawa mama zetu vitanda??hizo hilo zilizokutwa uswis za hao majambazi wa ccm hazitaweza kununua vitanda vya wakina mama nchi nzima????​

Ndugu yangu angali kutoa siri za watu na kufichua maovu, Serikali wanaweza wakaku-Ulimboka wewe!!!!!!!!

Shauri yako!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
hiyo ni wodi 1 tu, hivi ni kwa kiasi gani wamama na wake zetu, n.k. wanapata shida humo mahospitalini? ama kweli wa tz 'tutalijua jiji' kwa kuendelea kuikumbatia ccm. wananchi sie ndio chanzo cha haya yote. utashangaa tunavuna mbao kila siku kwa wingi na bado watoto wetu wanakaa chini! hii ni laana.
 
Wakina mama wakisubiri kujifungua,jamani hii ndio serikali ya magamba ccm inajivunia miaka 50 ya uhuru???hizo gharama za kumteka na kumwumiza vibaya docta ulimboka zingetosha kununua vitanda 5,haya safari ya huyo msafiri vasco dagama na msafara wake zisingetosha kuwanunulia hawa mama zetu vitanda??hizo hilo zilizokutwa uswis za hao majambazi wa ccm hazitaweza kununua vitanda vya wakina mama nchi nzima????​
Kwani hizi pesa za radar zilizo rudishwa kila Hospitali ya mkoa wasipewe Tshs 2,000,000,000/= ( two billion) kuongeza wards kubwa na za kisasa kwa ajili ya wajawazito na watoto???? Kwa nini viongozi wetu wasiwe na huruma na watu, madaktari wanadai vifaa na huduma bora kwenye mahospitari kwa nini lakini, ilikuwa kosa kuwaweka madarakani?????

TENA HAPA NI PALE HOSPITALI YA RUFAA KUBWA KULIKO YOTE KWENYE HIYO NCHI. KUNA WAKATI NILIWAKUTA WAGONJWA WENGINE WAKIWA WANAANZIA KULALA ENEO LILILOPO BAADA TU YA KUMALIZA NGAZI (LANDING) NA WANAJAA CORRIDOR MPAKA WODINI. Ni aibu, aibu, UDHAIFU, UDHAIFU na UFISADI...
 
Lakini bado ndani ya nchi hii kuna binadamu wanatetea eti serikali haina uwezo,hawana uwezo wanaotawala waondoke waache wenye uwezo wa kuondoa tatizo dogo kabisa kama la vitanda hospital,ingekuwa ni hospitali chache nafuu,hata hospitali kubwa kuliko zote bado ukubwa wa matatizo ni sawa na ukubwa wa hospital yenyewe,hata kama umeamua kuwa wakili wa shetani hapa unakosa moral authority kama ni binadam kamili,sijui hawa watetezi wa serikali hii ni binadam wa aina gani ? SIJUI
 
Kuna watu wanapata shida sana hapa Tanzania kwa sababu ya ulafi tu na viongozi wabovu, Hivi unapata faida gani kuwa na mihela mingi halafu umeweka bank nje ya nchi, hazifanyi kazi, za wizi. Mungu ilaani CCM na serikali yake.
 
Watanzania msilalamike! Mliyataka wenyewe!! Acheni serikali ifanye kazi yake! Hiyo serikali mnayoilalamikia mliiweka madarakani wenyewe. Tena hawa akinamama ndo usiseme. Ndo wale waliosema kikwete analipa!

Wakatanguliza ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa bila kujali uhalisia wa mambo. Sasa watanzania tulieni CCM iwanyooshe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015.
 
akina mama 35, chumba chenye vitanda 8 ukiangalia kwa makini vi3 ni meza za kujifungulia so vitanda ni vi5 tu. halafu kuna mbunge anapewa mshahara wa 10 mil what shame is this? wengine huko sijui wai jana wameonyweshwa kwenye tv eti wananunua mafuta ya taa wakienda kujifungua halafu wanambunge anakamata 10 mil per month sasa imefika mahali tuamue kwa dhati kabisa kwamba hii hali tumeichoka.
 
Back
Top Bottom