Picha wabunge wa CCM wachagua wagombea ubunge wa Afrika Mashariki leo

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
WABUNGE WA CCM WACHAGUA WAGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI LEO


Mwenyekiti wa wabunge wa CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (watatu kushoto) akiendesha kikao cha wabunge cha kura za maoni za wagombea wa ubunge Afrika Mashariki kupitia CCM, leo katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa wabunge wa CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (watatu kushoto) akiendesha kikao cha wabunge cha kura za maoni za wagombea wa ubunge Afrika Mashariki kupitia CCM, leo katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. (Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Ali Seif Iddi na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM, Abdulrahman Kinana na wengine kutika kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Dogo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnayue na Katibu wa Wabunge wa CCM Jenister Muhagama ambao wanasimamia uchaguzi huo.u ya CCM, Abdulrahman Kinana na wengine kutika kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Dogo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnayue na Katibu wa Wabunge wa CCM Jenister Muhagama ambao wanasimamia uchaguzi huo.
Baadhi ya wabunge wanaowania kuchaguzliwa wakinyoosha mikono kukubaliana na baadhi ya taratibu zilizotakiwa kutumika kwneye uchaguzi huoa na baadhi ya taratibu zilizotakiwa kutumika kwneye uchaguzi huo

Karibu wa wabunge wa CCM Jenister Mhagama akizungumza kabla ya shughuli za uhaguzi huo kuanza. Kulia ni Katibu Karibu wa wabunge wa CCM Jenister Mhagama akizungumza kabla ya shughuli za uhaguzi huo kuanza. Kulia ni Katibu NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi huoe Nnauye aliyekuwa mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi huo

Posted by: Bashir Nkoromo at Tuesday, April 03, 2012
 
matokeo ni siri? kweli hii nchi yetu ni ******* kweli yaani kauchaguzi kadogo tu ila taarifa hazipatikani
 
Inasemekana Katibu mwenezi 'alijaribu' kuchakachua matokeo ili kumpitisha mmoja wa wagombea kwa maslahi yake binafsi.

Wagombea wengine walibaini njama hizo wakaomba kura zihesabiwe tena..ziliporudiwa ndipo zilipogundulika njama hizo.

Hizi ni habari za ukweli? Mwenye datazz amwage tafadhali..
 
Kwa wiliiam hapo sawa! lakini kwa wengine siwafahamu nasubiri cv zao kwanza!
 
Hata wamchague nani, provided anapitia MAGAMBAZ hakuna kitu hapo. Fisadi ni Fisadi tu
 
Back
Top Bottom