nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
You know what!!seems kweli kuna some kind of internal influence inayowafanya wakiwa ikulu hawa majamaa wacheke unconditionally.....unajua this can be natural.There's something about ikulu watu wakienda wanakenua tu kama "mazuzu" Hizo si smile mkuu Lol!
Halafu tatizo wakitoka huko wanakuwa kama walisahau kilichowapeleka na inawachukuwa muda kukaa sawa na kusema walichoongea na mkulu!
Wakivusha mguu tu ndani ya ikulu wanakuwa kama "misukule" wanacheka cheka tu hovyo!
Sijui ni tactic ya JK kuwachekesha na kuwalamba mipicha?
Ama sijui huwa ana wa hypnotize?
Maana si ndiyo wao walikuwa wakidai ooh sijui anacheka cheka na kwamba hayuko serious?
Sasa hii yao mbona kali sana tu?
Teh teh teh...JF kuna machungu na raha zake!
....na inaonekana kuingilia hata fikra zao kimaamuzi au kimkakati mara wanapokuwa mbele ya rais wao tena ikulu......imagine this.....wewe umejararibu kupanda mlima kili na lengo lako ufike kileleni...........umejaribu kwa shida na taabu huku kila mara ukitaka kuishia njiani maana kileleni bado mbaaali alafu njiani msitu mkali, baridi kali, wanyama, mawe, uchovu balaa........umeendelea pamoja na vikwazo vyote huku umekunja uso kwa machovu alafu mara du!umejikuta umefika kileleni. ...hakika hata kama ulikuwa unalia,ukifika kileleni lazima ucheke,tena saana yaani....maana umeweza kufika(kwa mara ya kwanza maishani) killeleni......
Sasa hii parable inamaanisha.......hawa jamaa wanapokuwa pale ikulu.......naturally wanakuwa na some kind of hype.......yaani...some pseudo relief kwamba oh!tupo ikulu!.........na kwa hivyo twawaona wakicheka.....maana kwenye agenda za vyama vyao........wooote dream zao ni siku kumoja kuwepo ikulu for real.......yaani kushika dola........lol