Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

Wameiga ya Chadema?Hawa nao duni kweli kweli!
Nao wameenda kunywa chai ya ikulu kama chadema sio!hii chai itaponza wengi mwee...sasa vyama vyetu vya upinzani vinagombania kwenda kutemblea ikulu sio kuiondoa serikali madarakani tena!
 
Vyama vingi maaanake kutofautiana kiitikadi, kimtazamo na fikra. Hakuna jambo la kushangaza kama CUF na CHADEMA watatofautiana kwa mambo fulani fulani. kazi yetu ni kufuatilia uhalali wa maslahi ya wananchi ndani ya hoja walizopeleka Ikulu
 
nao hawakuridhika na maamuzi yao wenyewe pale mjengoni?

...mkuu ata mimi nimejiuliza swali kama hilo,na kama haitoshi hawa Cuf si walisha-peleka na rasmu yao ya katiba?,Na michango yao ya kinafiki si-liwaliitoa bungeni?,Na haya mazuzu si-ndo-nisehem ya hii serikali kwa huko Zanzimbar?...ukisiakia watu wazima ovyo ndo hao CUF...
 
CUF wanahisi Magwanda watawaibia mume wao CCM. Kile kitendo cha Magwanda kuingia na vipedo ikulu na kupiga picha na Mkulu kimewashtua sana.
 
mbona kama umeumia sana CUF kwenda Ikulu? kwani na wewe ni CCM-B au unataka kuwa CCM-C bado nafasi zipo
 
35iyrr8.jpg

Huyo jamaa hapo juu pili kulia atakuwa ni mtu wa swala tano,maana naona ana ile kitu inaitwa "Sigda" (sina uhakika na spelling)

BTW hivi kafu wana kiongozi mkristo na wao?
 
Hawa kidogo wanaonesha wana nia ya dhati kuliko Magwanda walioingia Ikulu kwenda kupiga picha na kuchekacheka.
Kwani kafu walinuna na hawakupiga picha?

Be specific,nia yao umeionaje kuwa ni ya dhati?

Ama hayo macho yako yanahitaji miwani ya aina gani?
 
It's all smiling. Isn't it? Ikulu mahali patakatifu. Smile.
There's something about ikulu watu wakienda wanakenua tu kama "mazuzu" Hizo si smile mkuu Lol!

Halafu tatizo wakitoka huko wanakuwa kama walisahau kilichowapeleka na inawachukuwa muda kukaa sawa na kusema walichoongea na mkulu!

Wakivusha mguu tu ndani ya ikulu wanakuwa kama "misukule" wanacheka cheka tu hovyo!

Sijui ni tactic ya JK kuwachekesha na kuwalamba mipicha?

Ama sijui huwa ana wa hypnotize?

Maana si ndiyo wao walikuwa wakidai ooh sijui anacheka cheka na kwamba hayuko serious?

Sasa hii yao mbona kali sana tu?

Teh teh teh...JF kuna machungu na raha zake!
 
Sijda!Nakwanikunatatizo gani kua mtu wa Sala tano kwa siku nzima kwa muda wiki nzima kwenye mwezi mzima na hakika ni Ibada ya maishani.

Huu udini wenu unakusumbueni. Baada ya kuzungumza yaayo husiana nakilicho wapeleka Ikulu muaanza udini. Au ndiyo hayo ya Tundu Lissu kumuambia Mh Hamad Rashid kwamba munaonekana muna UIslamu - Uislamu hivi!! ha ha h a
 
Nimependa uamuzi wao wa kwenda watu wachache tu,sio kuchukuwana chama kizima.Kuanzia mwenyekiti, mpaka mwenyekiti wa chama kwenye kata ha ha ha
 
Sijda!Nakwanikunatatizo gani kua mtu wa Sala tano kwa siku nzima kwa muda wiki nzima kwenye mwezi mzima na hakika ni Ibada ya maishani.

Huu udini wenu unakusumbueni. Baada ya kuzungumza yaayo husiana nakilicho wapeleka Ikulu muaanza udini. Au ndiyo hayo ya Tundu Lissu kumuambia Mh Hamad Rashid kwamba munaonekana muna UIslamu - Uislamu hivi!! ha ha h a
Mkuu si udini,samahani kama nilikukwaza,nina marafiki waislam tena toka nikiwa mdogo na kila tukimwona mtu wa aina hiyo walikuwa wakimention something,sikuzungumzia kuwa kuwa na sigda ni kitu kibaya...

Hata mwalimu mkuu wangu wa shule ya msingi alikuwa nayo,na alikuwa mtu mwema sana tu,haya mambo yenu ya udini humu mtandaoni tafadhali dont involve me.

BTW mbona hukunijibu kama wana kiongozi mkristo?Maana udini ni matendo yako yatakutoa nishai.
 
35iyrr8.jpg

Huyo jamaa hapo juu pili kulia atakuwa ni mtu wa swala tano,maana naona ana ile kitu inaitwa "Sigda" (sina uhakika na spelling)

BTW hivi kafu wana kiongozi mkristo na wao?

Yupo 1 tu, Julius Mtatiro
Naibu Katibu Mkuu wa CUF- Bara, Julius Mtatiro, Ismail Jussa (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar), Abdul Kambaya (Mjumbe Baraza Kuu la Uongozi Taifa), Habib Mnyaa (Kiongozi wa Wabunge wa CUF), Mkiwa Kimwanga (Mbunge Viti Maalum CUF), Twaha Taslima (Mwanasheria na Wakili wa CUF).
 
Back
Top Bottom