Picha - vijana wadogo lakini wanaotikisa Bunge na serikali

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
559583_10150646804151526_638941525_9880372_1307827026_n.jpg
 
hivi huyu Mr 2 anavaaje sandozi wabunge? daaah wabunge wangu bwana wananichekesha kweli wakati mwingine...ntafanyaje sasa na mahaba yamenielemea na chadema
 
Halafu mnasema Polisi hawalipwi vizuri! Hembu mcheki huyo Inspekta hapo juu alivyojishibia?

Anafaa kukaa ofisini tu, kufanya doria na kitambi hicho vibaka wanamzidi ujanja, na kuruka kihuzi hawezi.
 
Le Mutuzi ni Freemason mbona V yake haijakaa vizuri au ndiyo uwoga Nape asimuone?

We una macho ya ziada, kwani wengi wamepitia hapa hawajaweza kumtambua huyo wa kati ni nani, labda umetegua kitendawili.
 
hadi sasa sijaona wanachotikisa bunge, nadhani wanafanya kazi tuliyowatuma

huyo wa kati sijui anatikisaje
 
Kijana wa kushoto baada ya kutinga bungeni tu, siku ya tatu kaanza kuishambulia serikali, Mwulize Vijisenti anachofanya bungeni au Lowasa. Wanasubiri kukinga posho tu.
agreed, ila ndio wajibu wa wabunge huo.......... hao akina vijisenti sio wabunge mkuu, ni masultani huko kwao, umesahahu alipokewa na zulia jekundu alipoachia ngazi kwa ufisadi??
 
agreed, ila ndio wajibu wa wabunge huo.......... hao akina vijisenti sio wabunge mkuu, ni masultani huko kwao, umesahahu alipokewa na zulia jekundu alipoachia ngazi kwa ufisadi??

Hilo ndilo tusilotaka watu wa kizazi cha leo watu waingie bungeni kwa majina lakini hawafanyi katu tuliyowatuma, bora wawapiche damu mbichi wachangamshe bunge.
 
Back
Top Bottom