PICHA: Uzinduzi wa tawi la CHADEMA Basihaya Boko Dar es salaam na mh halima mdee

Micro E coli

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
938
192
Mambo yalikuwa hivi

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • mh Halima Mdee akikata utepe ikiwa ishara ya ufunguzi wa tawi.jpg
    mh Halima Mdee akikata utepe ikiwa ishara ya ufunguzi wa tawi.jpg
    174.9 KB · Views: 1,638
  • 2012-09-29 18.11.59.jpg
    2012-09-29 18.11.59.jpg
    254.4 KB · Views: 1,573
  • 2012-09-29 18.03.19.jpg
    2012-09-29 18.03.19.jpg
    260.2 KB · Views: 1,544
  • 2012-09-29 17.48.02.jpg
    2012-09-29 17.48.02.jpg
    202.8 KB · Views: 1,499
  • 2012-09-29 17.45.14.jpg
    2012-09-29 17.45.14.jpg
    264.9 KB · Views: 1,466
Mkuu Halima kaamua watu walisema hafanyi mikutano jana kabla ya kufungua hilo tawi alikuwa anazungumza na wananchi wa waliovunjiwa nyumba zao.
 
Halima wewe ni mwanamke wa shoka.piga kazi dada,fitna zao hazina nafasi kwako.
Sisi wana kawe mapenzi yetu kwako yako static!
 
wananchi wa chasimba Boko wakizungumza na mmbunge wao mh Halima Mdee
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1348978196706.jpg
    uploadfromtaptalk1348978196706.jpg
    82.7 KB · Views: 77
  • uploadfromtaptalk1348978331464.jpg
    uploadfromtaptalk1348978331464.jpg
    96.1 KB · Views: 70
Ni mbunge wangu lakini muda wake umeisha tulimpa ubunge lakini jimboni hatumuoni, wakazi wa Msasani Madanzi road hawajawahi kumuona, wavuvi wa Kunduchi walimpa kura mpaka leo hawajamuona...
 
Ni mbunge wangu lakini muda wake umeisha tulimpa ubunge lakini jimboni hatumuoni, wakazi wa Msasani Madanzi road hawajawahi kumuona, wavuvi wa Kunduchi walimpa kura mpaka leo hawajamuona...
Cuf kivuli
 
Ni mbunge wangu lakini muda wake umeisha tulimpa ubunge lakini jimboni hatumuoni, wakazi wa Msasani Madanzi road hawajawahi kumuona, wavuvi wa Kunduchi walimpa kura mpaka leo hawajamuona...
Wewe huwezi kuwa mmoja wao hata kidogo(red)
 
Naona CDM mmeishiwa thread za kupost,hii si habari ya kuleta JF ufunguzi wa matawi ?Halima Mdee anachemka tulitegemea kama mwanasiasa kijana kuleta maendeleo kitu ambacho ameshindwa kwa 100%.Ajue kwamba ndoa yake na wana Kawe itaisha rasmi 2015.
 
mkuu hujui unaloliongea Halima hapa BOKO ndani ya wiki moja kaja mara mbili kuzungumza na wananchi na maji yana panda Chasimba mtalia sana anawafanya mbaya magamba nyie.
 
Back
Top Bottom