Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

And yet we will say this is not another sign crying for really changes! Ndio sisi tulivyo, hata hivyo.
 
Mpaka hiyo movie inakwisha kutahamaki 2015 hiyo chali. Inasikitisha sana watu wanasulubiana hadharani!!!

Matunda ya kambui za Mwigulu Nchemba, yaani wameandaa Komando Yosso na kwa kuwa ni wahalifu basi si jambo la ajabu, si wamedhulumiana mgao?
 
I wish to dedicate wimbo Kung fu fighting by Carl Douglas kwa vijana wote wa CCM. Yes, muzichape kabisa!
 
Kifo kikifika bwana,huwezi kukwepa!! Ndivyo CCM Inavyoaga ndugu na jamaa...R.I.P CCM
 
hahahahahahahaah napenda sana kuona the beginning of the end of CHAMA CHA MAJAMBAZI...piganeni bwana mtoke madarakani tumewachoka majambaka ....
 
...dah!...mafisadi-matoto ni majizi total ,wakati wengine wapelekeana masumbwi ya usoni(picha ya kwanza) wengine ngumi wanazielekeza mfukoni!...mtoto wa nyoka ni nyoka,baba zao wanaliibia taifa na watoto nao wanachomoleana...
 
Kuna yule kiongozi wa Mrs.CCM (CUF) alisema kuna vijana wananunuliwa VIROBA ili wapafom, nahisi vijana wenyewe ndio hawa
 
Hii picha inaonyesha maajabu ya siasa zetu, unaweza kuitafakari ikakuchanganya. Huu dogo anayekabwa inaonekana alitumwa na hao wenzake kutekeleza jambo katika uchaguzi lakini inaonekana aliwasaliti wenzake. Sasa hapo wanaamini kuwa kuna alichopewa, ninahisi wanamwambia lazima utugawie na sisi. Loh!
Ee Mungu ibariki Tanzania.
 
ninachowaogopa ccm ni kua kama wanadundana wenyewe kwa wenyewe wakianza kuwekeza mashambulizi cdm si nchi itachafuka....hawa jamaaa hatari..kwenye hizo picha si kuna uvunjifu wa amani polisi walikua wapi

Na mimi najiuliza hivyo hivyo, mbona hamna polisi au askari yeyote wa jiji aliyeingia kuwaamua? Halafu huyo anayeshika mfuko wa mwenzie anatafuta nini huko? Kwahiyo wanampiga/wapiga kwavile wanatofautiana mawazo/misimamo? This is just wrong in so many levels.

 
Ha ha ha ! Hiyo ndiyo ajenda ya vijana huko?mods hebu unganisha huu uzi na ule wa waasi

Nadhani ingefaa uzi huu ubaki ukijitegemea kwa sababu umebaba uzito zaidi ya ule, vinginevyo kama wanaunganisha basi huu ndio ubebe uzito wa juu na ule uwe wa kujazia. Hujaona raha hapa kwenye uzi huu kakangu?
 
Bado sana tutaona mengi tu huo ni mwanzoooooooo wamekwishaaaa chaliiiiiii
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom