Mshirazi
JF-Expert Member
- Dec 8, 2009
- 444
- 170
Anatokea wapi?
Mabwepande
Anatokea wapi?
Nilifikiri kutoka kwenye YAnatokea kwenye X yako.
Dah! Jamaa sura yake imerudi kunyooka...
Mungu amzidishie nguvu na aendelee kumlinda
Meno si tatizo anaweza kuvaa za bandia, muhimu amerudi salama baada ya matibabu.Ntamuomba afungue mdomo ili tuone meno yamekaaje. Ila kuna watu hawana akili kabisa. Wanatesa wenzao kama sio binadamu vile
Meno si tatizo anaweza kuvaa za bandia, muhimu amerudi salama baada ya matibabu.
teh teh teh...I know...but sometimes there are many ways to send out a message to the concerned people. In this issue, they have failed!
How should it have been, hebu nitafunie kidogo
wengine na kujisaidia nguoni washakamilisha tayari.wasiwasi kama sio hofu ndo zinazidi kuwajaa huko waliko..hivi anaweza akaitisha press akatupa walau mawili matatu ya kilichojiri? au pia itakuwa ni kuingilia mhimili ule mwingine.
halafu kwa nini awamu ya nne dli zao nyingi zinabumbuluka.walianzia kubenea,mwandosya,mwakembe,na sasa ulimboka.baraza la mawaziri kila siku wanalivunja kama vina laana vile.MUNGU ANANGUVU KULIKO SERIKlI NA POLISI NA USALAMA WA TAIFA KWA UMOJA WAO NA UDHALIMU WAO
Huu ni ushindi mkubwa sana dhidi ya udhalimu.....Mola amjalie maisha marefu zaidi....
Mwisho wa UBAYA ni AIBU