PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

kwangu matendo ya WAISLAM dhidi ya Wakristo na mali zao ni sawa na Kunguru kunichafua au kuchafua mali yangu,kitakiwacho ni kusafisha uchafu na kuangalia namna ya kudhibiti huu uchafuzi.
kwangu akili yao haitofautiani na ya kunguru mweusi...
 
Mungu gani anapiganiwa kiasi hicho?? sisi wakiristo tunaamini mungu wetu ana nguvu na yeye ndio anatoa hukumu.wenzetu wanatumia kichwa kufugia nywele?? hizi ni akili au matope? washindwe kwa jina la YESU na walegee kabisa.

AMEN :pray:
 
Wakristo wenzangu tujifunze kusamehe.



Endapo Kikwete ataendelea kumtunia Ponda na pia kuitumia Radio Imani hata ukisamehe saba mara sabini ni bure.


Ujinga huu utaendelea mpaka pale ccm na mikakati ya kuligawa taifa kwa misingi ya udini utakapokoma.


Mwanahalisi lilieleza ukweli kuhusu watekaji wa Ulimboka likafungiwa kwa muda usio julikana

Ponda na radio imani wanawachochea watanzania kuumizana kwa misingi ya imani zao wameachwa waendelee

kumwaga sumu. Tunahitaji tanzania salama kwa faida yetu sote na vizazi vyetu hapo baadaye.


KAMA SUALA NI KUCHOMA MSAHAFU JE NDANI YA KANISA IMEUNGUA MISAHAFU MINGAPI?
 
Wakristo tunakasoro nyingi hasa kuungana. Naona kuna haja ya kuunda tume au kamati ya amani ya Kikristo kwa jambo hili kwa madhehebu yote waione serikali. Tamko la serikali liwe wazi. Ukristo uheshimike. Haiwezekani shetani aingie kanisani tumwache.

Hawa jamaa itafika wakati watatuulia watoto na kuchoma nyumba zetu eti dini tu.
 
Nimegundua kwanini hawa wamefanya hivi, unajua wao huwa na mashetani, shetani na kanisa hasa lenye maombi mengi ni maji na moto, wameona mashetani yao yanapata shida sana Wakristo wanapokua kwenye maombi na sala zao, remember jana ilikua Ijumaa, nahakika hapo ilikua ufanyike mkesha, wachawi hawa na majini yao walijua watapata shida this is why wakaona wachome makanisa ili Wakristo wasiende kusali siku hiyo, hawajui Imani ya Kikristo ni ya ajabu sana, hata chini ya mti tu, ukipiga maombi kisawasawa, shetani anaipata, kwa taarifa nilizo nazo, hii move itaendelea may be nchi nzima and for your information, polisi kwa vile wapo Bias watachemsha, mark my words, dini hii inampango wa kuiteketeza Tanzania, suala la wakati, tusubiri. Mahubiri yao ndani ya Imani redio, sio bure, yanakitu!
mkuu unajua leo tuombe mungu sijui kama tutafika salama 2015, tanzania kama somalia!
 
Inatosha radio imaan inatupeleka pabaya

kabisa hivi serikali haijui chochote kinachotangazwa na hiyo redio, mbona wanakashifu imani za watu wengine waziwazi bila tatizo,hivi na sisi tukitumia radio zetu kufanya hayo inakuwaje hapa.... au ndo mtenda atende tu ila akitendewa yeye ni balaa..............
 
Heyi! Am sure hiyo dini ya kimuslimu ni dini ya shetani. Vita yao ni ya mwilini.

toa hoja zenye mashiko shetani hana dini uislamu unaingiaje hapo wakati ni maoni ya katiba hata wewe unaruhusiwa kuomba ukristo ndio uwe katiba suala ni maoni yako yaweje
 
tutasamehe hadi lini?
Hebu sikiliza muda radio imaan uwasikie wanavyopongezana waislamu wa mbagala
lazima wapongezane kwa kazi nzuri iliyoratibiwa na ponda, wakristo wakitegemea msaada kutoka serikali hii ya kidini watasaga meno! Tatizo hakuna kiongozi aliyetayari kusema ukweli!
 
NAKUBALIANA nawe si Chama tawala ila ni KIKWETE. Si unajua kuwa alikuwa mmoja wao wa wanzilishi wa BALUKTA iliyochoma Mabucha ya Kitimoto Dar enzi za Mzee Ruksa kabla ya kupigwa marufuku??
Kama Kama Kikwete ndio Rais na mwenyekiti wa chama tawala CCM abacho kimekua kikipandikiza mbegu ya udini katika kampeni zake baada ya kukosa hoja ya kupambana na CHADEMA utamteganisha vipi na chama tawala CCM?
 
hapo mie naona lengo lao ni kufanya kanisa kufanana na msikiti.... maana msikiti wenyewe huo mmmmmmmh..
 
sisi ya kwetu tunamwachia Mwenyezi Mungu aliyehai,Tunayemuabudu,atawahukumu wote waliofanya uharibifu huo.
 
Hawa kama kweli ni waislamu dini haiwasaidii na nadhani dini yao itakuwa na mapungufu ambayo mwisho yatawapeleka jehenamu sasa ebu fikiria kitabu kakojolea mtu wao wakaharibu makanisa hivi hata kama hujasoma hata picha uoni.Ukiwaangalia wanaonekana ni wahuni tu ambao maisha yamewashinda huko Mbagala ina maana Mbagala wanaujuwa uislam sana kuliko Misri.Ebu acheni ujinga tatizo serikali inawalea sana nyinyi kuna kipingi mliandamana mpaka wizarani serikali ikawachekea mimi naona serikali iache kulea ujinga huu watu wakileta upumbavu kamata weka ndani wasilete visingizio vya dini kuvuruga amani hapa nchini kama maisha yamewashinda ameni nchi.
 
kabisa hivi serikali haijui chochote kinachotangazwa na hiyo redio, mbona wanakashifu imani za watu wengine waziwazi bila tatizo,hivi na sisi tukitumia radio zetu kufanya hayo inakuwaje hapa.... au ndo mtenda atende tu ila akitendewa yeye ni balaa..............
mjaribu muone kama kikwete atafungia hizo redio milele, mtikila aliponea chupuchupu kutupwa jela! Umemsikia tena? Hapa akina ponda ndo wakutamba, sio viongozi wa kikristo!
 
Uharibifu uliofanywa Kanisa la Anglican katika picha
attachment.php

Kanisa la Anglikana likiwa limevunjwa Milango na vioo na mabench yametupwa nje.

attachment.php

Kanisa la Anglican kwa nyuma.
attachment.php

Kanisa la Anglican kwa mbele, mabench yakiwa yametupwa nje.
attachment.php

Vioo vya Kanisa la Anglican kwa karibu.
attachment.php

Kibao cha Kanisa la Anglican kikiwa kimeangushwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom