Picha - ubunifu tunao, matatizo kuendeleza ubunifu

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
422391_304986752883194_678742019_n.jpg
 
hii picha mbona isha letwa huku mara kibao mkuu? tangia mwaka jana hizi picha ziko humu

Kuna kitu inanifikirisha sana, ila vipaji hivi hatuviendelezi. Picha inaweza ikaonekana mara kadhaa lakini nini tunajifunza? Nilipokuwa mdogo nilikuwa na mazoea ya kutengeneza magari ya miti na kuyaendesha huku nimedandia, lakini tuliishia kutukanwa na pengine kusimangwa na wazazi bila kujua akili tuliyokuwa nayo ingeendelezwa tungeibua vipaji vya ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom