PICHA; tuite sitting allowance au sleeping allowance?

Kweli Sleeping Allowance,mijitu inajipigia usingizi then ilipwe mihela hyo yote kwa siku? Huu ni uhuni usiokubalika kabisa na huu uoga tulionao waTz cjui utaisha lini,la msingi hapa nikuwapopoa tu hawa kufikisha ujumbe wetu kwao
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php


Sleeping allowances for our Congress during the session

Mzee six kama ameuachia wa kisailensa vile.Yaani bungeni hadi raha.

 
Tatizo la hili bunge letu Wabunge wanajiachia kwenye viti kama wako peponi ndo maana wanasinzia, ilitakiwa wabanane kama bunge la kenya au uingezera, ukisiinzia tu unapigwa konzi.
 
Shame on them, together with their Pinda n Makinda wanaoisimamia hiyo posho.
Shame on them, badala ya kuwakilisha matatizo ya wananchi huenda kulala bungeni, wakiongozwa na Tyson, kiraracha.
Shame on all who support the aforesaid posho bila kujali impact yake kwa hali ya mwananchi wa kawaida.
Shame on you all, mnaobeza madai halali ya madaktari, matokeo yake wananchi wengi wamepoteza maisha, huku mkitetea posho isiyo na maana...
Shame on serikali ya Jk inayoongozwa kilegelege, na iliyokosa mwelekeo
 
Je, ikitokea Daktari akasinzia ofisini au chumba cha upasuaji.

NINI KITATOKEA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! YAANI SIPATI :photo::photo::photo::photo:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa wengine kama hao waliopo pichani ni sleeping allowance, kwa wengine ni just sitting allowance, kwa wengine ni makofi allowance na kwa wengine ni working allowance at least kwa kukumbuka kutetea maslahi ya wapiga kura!
 
Jamani vijana wenzangu tuko wapi na tunaifanyia nini tz yetu?kwanin tunakubali kuburuzwa na watu wanaotumia muda wetu kulala kazini?je sie ni waoga kiasi hiki?atachangia nini mtu wa aina hii?ifike wakati tuinuke nasi tuka contest na kuonesha umma kuwa kijana anaweza akipewa fursa.kama ilivyo kwa akina kaka zito,kaka mnyika,kaka j.mbilinyi,mch.msigwa,ndg.wenje,kaka lema n.k we need to score upper in whatever we wish for our lovely nation.
 
Wanatafakari..........yaani ni aibu sana wakajipitishia by law ndani ya bunge kuwa kusinzia ruksa ila kulala hairuhusiwi!!!!sasa hapo wanasinzia kusubiri posho!
 
attachment.php
attachment.php


Hii ndiyo raha ya viongozi wa serikali yetu, sijui wanakesha wapi hadi waibukie kuchapa usingizi wakati wa vikao vya bunge na wawapo misibani. Hata hawakumbuki muda wote camera zinawakodolea macho hiyo mistari ya mble?

Lowasa yuko mgongoni kwa mchapa usingizi msibani, sijawahi kumwona Lowasa amechapa usingizi hadharani, ila hii ya msibani ni komoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom