Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 988
Hawa ni wachumia 2mbo,watakula kwa kasi zaidi
Eti masikini wa Tanzania anatanua(kupeana vyeo namna hii) kuliko tajiri wa Ulaya na Marekani...Ovyoooo
Hawa ni wachumia 2mbo,watakula kwa kasi zaidi
Ningekushangaa sana kama siku ingepita bila kutuwekea picha ya ikulu.
mkuu ni kweli lakin tatizo ni ku centrolize madaraka na kutaka kutawala pia kuongoza kila kitu kutokea dar,,,,ni rai yangu tukubali kuwa suluhisho la hili ni ,ku decentrolize,,na hapa unakuja na sera ya majimbo,,,,,,sion,nafasi nzuri ya wazir wa maji kukosa usingizi na kupata suluhisho la kudumu la maji pale same,kigoma,bukoba na mtambaswala mtwara,,,volume ni ndogo sana,,atabaki kupanga namna ya kumdhibiti mnyika asimuumbue,,,atafanyia funika kombe mwanaharamu apite,,,hutaona tija ya ukweli,,,,,,so tubadili mfumo wa utawala,,,katiba mpya,,,,Idadi kubwa mno hata nchi kubwa kama Marekani, Urusi au China hawana cabinet kubwa kiasi hicho wakati uchumi wa nchi zao ni mkubwa, sasa nchi maskini inayoishia kwa misaada mawaziri ni wa kumbwaga nadi wasio na wizara maalum.
yaaani kuna wengine wamenenepa kama wametiwa hamira...khaaaaa maushungi mwanzo mwisho yaani ni balaaaa..yaani hapo wanasubiri maposho tu
Hawawezi kuwa na ufanisi kwani wanaume kwa wanawake wote ni vitambi; wao wanafikiri ukubwa wa matumbo yao ndio afya kumbe maradhi!!! Sasa fananisha namawaziri wa marekani ,toka Rais wao mpaka mawaziri wote wako physically fit, hakuna hata mmoja mwenye kitambi!!!
Secretary of State Hillary Clinton Secretary of the Treasury Timothy Geithner Secretary of Defense Leon Panetta Attorney General Eric Holder Secretary of the Interior Ken L. Salazar Secretary of Agriculture Tom J. Vilsack Secretary of Commerce John Bryson Secretary of Labor Hilda L. Solis Secretary of Health and Human Services Kathleen Sebelius Secretary of Housing and Urban Development Shaun Donovan Secretary of Transportation Ray H. LaHood Secretary of Energy Steven Chu Secretary of Education Arne Duncan Secretary of Veterans Affairs Eric Shinseki Secretary of Homeland Security Janet Napolitano
<tbody>
</tbody>
Yaani wewe kwa mtazamo wako hili Maraisi wote wanne wa Tanzania hawjawah kuliona hilo??? Usipende kujilinganisha na hao jamaa kwa kila kitu,sometimes we are far right than them,..kwa hili la cabinet kubwa,u must appreciate the fact that we have different form of democratc system na wao,lakini pia structural difference btn us n them...mijitu ya huku inahitaji usimamiz wa karib kwani bado ni wajinga..nimekusaidia kidogo endelea kutafuta sababu zingine dnt juc conclude kirahis hivyo mkuu.Heshima kwako!!Idadi kubwa mno hata nchi kubwa kama Marekani, Urusi au China hawana cabinet kubwa kiasi hicho wakati uchumi wa nchi zao ni mkubwa, sasa nchi maskini inayoishia kwa misaada mawaziri ni wa kumbwaga nadi wasio na wizara maalum.