Picha - Tanganzo kuhamasisha Waislamu kuandamana baada ya Swala ya Ijumaa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
MCHANA3.jpg
 
QURAN YAKOJOLEWA!
SHEIKH PONDA AKAMATWA,
SHEIKH FARID WA ZANZIBAR AKAMATWA HAJULIKANI ALIPO

  • Waislamu wakamatwa na kuteswa
  • Akina mama wadhalilishwa na kuwekwa ndani
  • Misikiti yapigwa mabomu Mbagala
  • Polisi waingia na viatu misikitini
  • Rais awapo pole wakristo
  • Polisi wamefanyia kazi amri ya maaskofu
  • Maaskofu wawapongeza polisi kuwakamata waislamu na kuwaweka ndani

Kwa matukio haya waislamu wote mnatakiwa mara baada ya swala ya Ijumaa kutoka kwa maandamano ya amani kila msikiti kuelekea Ilulu. Kila mwislamu mwenye chembe ya iman ampe taarifa hizi mwenzie na ashiriki katika maandamano haya ya kuhani dini na mashekh wetu.

WABILAH TAWFIQ
 
Back
Top Bottom