Picha/sura ya bakhresa

Status
Not open for further replies.
Mbona wamevaa 'kikafiri'? Nilitegemea kuwaona wamevaa baraghashia, kanzu safi na ndevu tele.
 
mavazi sio dini ndugu,ingekua hivyo mapadri wangetembea na kanzu zao za madhabauni muda wote
 
Watu hawajafahamu bakheresa ni mcha mungu hapendi kujionesha sana hata akitoa msaada pia hajitangazi wala kujionesha sio kama huyu jamaa mengi akitoa kamsaada kadogo basi ataviita vyombo vyake vyote ili auze sura
 
Uyu mzee bila shaka ni muumini safi akitoa msaada hana blah blah na media coverage
 
Rumours has it Azam will be going public crosslisting in Nairobi,Kampala and Dar stock exchange.
 
chairmanImgThumb1.jpg
SAID SALIM AWADH BAKHRESA, Chairman, Bakhresa Group of CompaniesSAID SALIM AWADH BAKHRESA is the founding father and the Chairman of the Bakhresa Group Of Companies. He is a well-known industrialist in the mainland of Tanzania and island of Zanzibar. With a humble beginning as a small restaurateur in seventies, he created the business empire within a span of three decades. He is the mastermind behind the success of all the businesses within the group. His vision and excellent managerial skills contributed to the growth of this group to great heights.Mkuu.@Billie

Huyo ndiye Bakhressa. Nilikwenda ofisini kwake kuongea naye siku moja. He is a mild-mannered person.
 
Topic Information

Users Browsing this Topic

There are currently 59 users browsing this thread. (20 members and 39 guests)




Mkuu Billie wala hujakosea kuuliza, swali lako linaonyesha umuhimu wake huyu bwana, kwa idadi ya waliopo kwenye mada yako inaonyesha wazi kuwa ni watu wengi walikuwa hawaitambui sura ya huyu mlipa kodi wetu....
There are currently 21 users browsing this thread. (9 members and 12 guests)
 
Last edited by a moderator:
mzizi mkavu ucpende jaza server yetu bure kwa maelezo mengi kwa kitu kisichotakiwa,mwanzisha uzi ameomba mwenye picha au sura ya bakhresa amwekee ,weye unakuaja na mastory mareeefu,picha yake ingetosha tu ,nyie ndo mnaofail mitihani kwa kujibu msichoulizwa...aaaargh
Mkuu nziriye Niliamuwa kuweka maelezo yake yote kuna wengine wangeuliza je anaye watoto? kuna wengine wanauliza je anaye watoto wa kike?sasa yote hayo maswali ya nini? nimeona bora nijibu kwa kirefu musipate taabu ya kuuliza maswali utafikiri tupo bungeni.
 
Last edited by a moderator:
Lol! Na wewe banaa! Wahindi hawauzi sura wanapiga kazi! Jamaa akienda ulaya hana nafasi ya kupiga picha na maceleb kama rais wako, anaangalia chikilimu za kisasa alete kwao!
Labda kuna mtu anamfananisha nae.............mjombaake hivi au nini sijui.............
 
Rumours has it Azam will be going public crosslisting in Nairobi,Kampala and Dar stock exchange.

Is this true?If indeed it is true then it would be certainly a right step forward as our companies are very afraid of venturing into the wider regional market.The likes of CRDB can't put their noses outside of our borders...
But hold on,Is Bakhressa not a private company?Do they have an intention of going public?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom