FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
Naskia wamesha achana. dizaini jamaa alishindwa kuwa mvumilivu.
kwa style hii naweza kuamini!!
Naskia wamesha achana. dizaini jamaa alishindwa kuwa mvumilivu.
hatujakataa kila kitu, tumesema asante kwa kazi wanayofanya mbona tumetambua idadi kibao ya movie za kanumba mpaka tunamuita the great? Ila tunawaambia ili wafanikiwe na sisi (waTanzania) siku moja tuje tufike kwenye Academy Award (Oscar) basi wajaribu kuangalia mambo fulani fulani. Mkuu angalia movie ya Leleti Khumalo "yesterday" zingine hizi "white light" "white maasai" "Ezra" "skin" "No where in Africa" "a dry white season" "The ghost and the Darkness" "Mafrika" uone kama zinafanana na hizi movie zetu. Mimi mpenzi wa African movie lakini wanigeria na wabongo mmmh???!!!* sijui!Jamani sio tunacritisize to kila kitu cha KIBONGO angalau tutoe na vijisifa japo kidogo
Mkuu swabiri Pasipo na kuiga hatutaendelea kipicha itabidi tuige wazungu wanavyofanya filamu ehhhTatizo tunaiga sinema za nje na tunataka kuishi maisha tunayotamani kwenye movie , achilia mbali muozo wa quality, soundtrack na mengineyo mengi tatizo ukisema wanasema unachonga sana lakini suala ni kujenga na kutengeneza movie ambazo zitacompete there is a lot of potential in this industry regardless of being so disorganized and unprofessionally managed
point!Hata mimi nimekuwa nikijiuliza the same question, hivi ni wanafunzi wa ngapi wa vyuo vikuu veytu vya bongo wanaenda na magari chuo, hivi mbona haigizi movie zenye maudhui ya kuaddress issue za watanzania kama wanavyofanya akina Leleti Khumalo? angalia picha zake kama Yesterday, Sarafina, Invictus, nk. Bongo kuna topic kibao za kuigiza na zingewapa heshima kubwa sana hata hizi kasheshe za akina Kakobe mjanja akitengeneza script nzuri unatika na bonge la movie, Matatizo ya bodi ya mikopo na wanvyuo, Skendo zote tunazozisikia ni movie tosha.
Alfu move za wenzetu unakuta aliyetunga hadithi (kitabu ni mwingine) anayeandika script ni mwingine, director mwingine, star mwingine na ndio maana unaona imetulia maana kuna kukosoana na kurekebishana. sasa hawa movie ya kanumba kila kitu yeye, kama ya Ray basi hivyo yy mwenyewe ni mtunzi, script yeye mwenyewe, mwongozaji yeye, na star yeye tena, ndio maana zinakosa mvuto kabisa. Mtoto wa shule ya sekondari makongo wanmuweka Johari (sekondari gani hiyo tanzania hii) hata mikunyanzi ya usoni inaonyesha huyo kavuka mipaka ya kusoma na tayari kawa used. hawasikiii hawa
hahahahahahaha!Mmhh nimejaribu ku-zoom nimeambulia patupu!
Mmhh nimejaribu ku-zoom nimeambulia patupu!
...Mi huwa najiuliza huyu Irene Uwoya shemeji ameshampiga kibuti nini?? Maana yeye kila wakati tunamuona kwenye uigizaji tu au ndio ujasilia mali umeshika hatamu??Dah Huyu Uwoya kwa vivazi vyake mie nadhan sometimes anakuwa anawakwaza hata mashooter wa movie....kama yaleeee kupiga picha warembo kwenye fukwe......