Picha : Shibuda vipi mbona una rudia matapishi yako mwenyewe?!

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Tafadhali weka maslahi yako na ccm wazi maana hueleweki.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia jana Septemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.

Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na baadaye Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.


Picha na IKULU
 
Back
Top Bottom