Picha, Sekeseke la Tandahimba

Nchi hii sasa haitawaliki tena,maana mtawala hakai nyumbani na ma-house boy aliowaacha wanabaka na kutumia hovyo vitu vyetu kwa jina la uwaziri,waaaapi baba Mwanaasha,
Kusini,Nyanda za juu kusini na Kaskazini kimenuka bado pembe 2 tu ili nchi inuke yote

KAENDA KUNUNUA JEZI KWA MAXIMO

Kikwete-salutes-Maximo.jpg
 
Nafurahi sana kuona hatimaye watu wa kusini wameona dhuluma ya ccm na kuamua kuchukua sheria mkononi bila hivi ccm huwa hawaelewi kitu
 
Hii serikali ni legelege sana, inashughulikia matatizo ya wananchi polepole sana mpaka wananchi wanaishiwa uvumilivu.
 
Huko tuendako, wakulima na wafanyakazi wa ngazi ya chini wanaodhulumia hata kile kidogo wanachodhani wanacho, ndio watakaobadilisha utawala wa kibabe wa nchi hii. Nimeona mawaziri wanavyojibu maswali kwa jazba jana katika bunge, utadhani wanawajibika. Nashangaa kwa nini mpaka sasa Prof. Juma4 Maghembe hajajiuzulu kwa uzembe huu wa kutolipa wakulima wa korosho
 
Kama imefikia mahali hata wakulima wanajua kwamba mabomu yapo muda wowote na wanayakaribisaha.nchi imekaribia kuiva.
 
Mafisadi hawana huruma hivi kweli watu maskini kama hawa unakwenda kuwakopa halafu kuwalipa shida.ilihali wakuylima masikini wanali njaa wao kilasiku nje ya nchi
 
Mkuu asante kwa picha. Magamba wangekuwa na akili wangesoma alama za nyakati kupitia clue ndogo ndogo kama hizi. Lakini ah wapi watasema ni wahuni wachache.
 
Magamba yamezoea kushibisha matumbo yao kupitia wanyonge,mbona posho zao hawajicheleweshei? Big up wana Tandahimba mnazidi kuonesha njia ya M4C!!!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom