Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayotumika kwenye Ofisi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Picha rasmi ya Rais Dk John Magufuli itakayoanza kutumika leo katika ofisi mbalimbali za serikali na binafsi nchini.

Picha inapatikana Idara ya Habari (Maelezo) kwa bei ya Tsh. 15,000/=

attachment.php
 

Attachments

  • Picha Rasmi Rais.png
    Picha Rasmi Rais.png
    65.1 KB · Views: 19,153
huenda akaikataa kam kikwete alivyofanya wakati ule.....alitoa kisngizio kuwa aliipiga akiwa amechoka sana na pia hkuvaa miwan...
 
Wanakurupukaga na picha za kuweka kwenye maofisi ili wajidai wanapozikuta zimetundikwa, halafu akili ikitulia wanasema walikuwa hawakaaa sawa, ooh, sijui stress, ale ashibe atulize akili apunguze msongo alioupata kwenye kampeni ndio aje na picha.
 
eeeeh...ina maana hizi picha za maraisi lazima watoe meno nje! Au ndio wanatucheka malofa? Jk alikenua, huyo naye kakenua..mzee ruksa ivyo ivyo.... Nyerere ivo ivo..sikumbuki Nkapa.....
 
Tupo njiani kuja kuifunga hiyo ofisi, inaonekana hamna nidhani ya kiungozi hapo ofisini kwenu.
Ofisini kwetu hatuwezi kuweka hiyo picha ya Magufuli kamwe tumeweka ya Lowasa.
 
Picha mbaya hiyo


Hii picha haijakaa sawa na ingekuwa ni mtu wa kawaida asingeweza kuitumia kwenye baadhi ya maeneo. Kosa moja kubwa ni kwamba huyaoni masikio yote mawili ya Rais! Lakini pia waache kufanya kazi kwa mazoea, huyo mkurugenzi hana ubunifu wowote kuhusu official portait ya rais? ameshindwa hata kuweka bendera ya Tanzania na ile ya rais kwa nyuma?
 
Picha rasmi ya Rais Dk John Magufuli itakayoanza kutumika leo katika ofisi mbalimbali za serikali na binafsi nchini.

Picha inapatikana Idara ya Habari (Maelezo) kwa bei ya Tsh. 15,000/=

attachment.php

Mkuu hiyo ni Ofisi gani ina TV ya kizamani hivyo
 
Back
Top Bottom