Picha: Rais kikwete katika kilele cha mkutano mkuu wa uwt dodoma leo oct/22/2012

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]




Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).




Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wanachama wakongwe wa UWT Ikulu ndogo Dodoma katika mchaplo aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo baada ya kutoka katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT.

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakicheza segere.

Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia.
 
Naomba isiendelee kuitwa jumuiya ya wanawake Tanzania, tafadhali iitwe Jumuiya ya wanawake wenye magamba!!!
 
Wakuu hicho kiti alichokali Raisi kinanini? Mbona kila mahali anakuanacho?
 
Back
Top Bottom